Recent content by pdozen_nation

  1. pdozen_nation

    Piki piki ya hero hunter cc 125

    naomba kuuliza wakuu hii piki piki ni inzuri sio kimuonekano apana perfomance yake kwenye barabara korofi na lami? pia vifaa vyake na mafundi wakawaida wana zitengeneza?
  2. pdozen_nation

    INAUZWA Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa

    Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa 0685141035
  3. pdozen_nation

    Kijana wa kucha anahitajika

    Hello Madam Naomba unipostie Nahitaji kijana anaejua kupaka rangi aina zote na huduma zote za saloon ya kucha Awe anaishi maeneo karibia na Kimara 0752934983
  4. pdozen_nation

    Kijana wa kuzaa popcorn kwenye kimashine feri

    Natafuta kijana wakuuza popcorn maeneo ya feri pale location ipo imetulia kabisa mshahara ni maelewano kama kuna mtu ataitaji apige simu 0685141035 asitume sms piga simu [emoji1545]
  5. pdozen_nation

    Kazi kiwanda cha NIDA Tabata TOT

    Wakuu leo nimepita Tabata pale nimeona watu wapo nje kwenye kiwanda cha NIDA pale TOT kama veepe embu fatilieni mnaweza mkapata kazi [emoji1545]
  6. pdozen_nation

    Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    kuingia palee unaingiajee mkuu uwe kibarua
  7. pdozen_nation

    Tenda ya MC na Muziki

    Natafuta mc na mzikiwake wa shughuli ndogo tu ya watu 150 kwenye ukumbii kama yupo umu au una ndugu yako ana mziki na ni MC shughuli ni tarehe 2/12 tuwasiliane 0685141035 [emoji1545] ofaa yangu 600,000
  8. pdozen_nation

    Ainaitajika kijana wakukaa dukani feri

    nashkuru jamani nimmempata mfanya kazi na ameshaaa anza kazi nimempa week moja yakufundisha next week tunaanza tarehe ya kuanza kazi rasmi
  9. pdozen_nation

    Ainaitajika kijana wakukaa dukani feri

    wakiume wakike kwa pale kumechangamka sana vijana watamdanganyaa lawama tu bora tupate wakiume
  10. pdozen_nation

    Ainaitajika kijana wakukaa dukani feri

    duka la pipi piki biskuti
  11. pdozen_nation

    Ainaitajika kijana wakukaa dukani feri

    kula kulala na nauli kwa boss
  12. pdozen_nation

    Ainaitajika kijana wakukaa dukani feri

    Anaitajika kijana wakukaa dukani mshahara 60,000 kula kulala kwa boss awe mtiiifu na mchamungu kama yuko tayari anicheki 0685141035
  13. pdozen_nation

    Anaitajika dereva bajaji wa hesabu Mbezi Louis

    1. Awe Mtanzania kwenye kitambulisho cha NIDA 2. Awe na leseni ya udereva 3. Aje na mashaidi wawili Atume CV yake kwenye email @pdozen74@gmail.com
Back
Top Bottom