Recent content by paz

  1. P

    JamiiForums Tanzania Botswana waichana live USA

    Amekanusha. Washington post ndio wameandika hiyo habari hawampendi kabisa trump
  2. P

    JamiiForums Tanzania Botswana waichana live USA

    Amekanusha. Washington post hawampendi trump ndio wameandika hiyo habari
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego: Japo Diamond ni mshikaji wangu ila kimuziki hamfikii ubora Ali Kiba

    Nyumba ya chibu ya kwa mandela mimi nimejeng a tabata alikiba kwangu ndiye bora bado atasema nina mwanamke mzuri kuliko zari
  4. P

    JamiiForums Tanzania Darassa, Diamond wanarushiana maneno kimtindo

    Kiba simmesema ana lebo mchukue darassa waungane kupambana na chibu basi mnachosha.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

    Meneja wa kiba ameshafanya kazi sounf city kwahiyo ni bakishishi lakini haitawasadia jipeni moyo kwa muda mfupi 2017 mtaona moto chibu kwenye kazi
  6. P

    JamiiForums Tanzania King Kiba anafunga Mwaka Leo ndani ya capital city Dodoma

    Hajafanya show kaacha vurugu tu watu wanadai kiingilio chao
  7. P

    JamiiForums Tanzania Let say hii nyimbo ya Darasa/#Mziki, ingukua ni ya WCB/Diamond plus ths December

    Hii nyimbo ni sawa na. banjuka tu ya mkenya itapotea sasahivi asipopatia pesa sasahivi ameliwa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Christian Bella: Alipotoka Diamond muziki wa Bongo fleva ukaanza kuwa juu na muziki wa bendi kushuka

    Watanzania tumekuwa wabishi sana. Chibu ndie aalianza kujipangia bei ukimtaka ndie kafanya bongoflava kuwa biashara
  9. P

    JamiiForums Tanzania Diamond kujiita Dangote unajidhalilisha tafuta jina jingine

    Kwahiyo ukoo wa dangote nigeria wote ni matajili aau wameacha kutumia hilo jina
  10. P

    JamiiForums Tanzania Alikiba: Nawaona Simba ORIGINAL

    Mbona tembo original hajatuonyesha
  11. P

    JamiiForums Tanzania Alikiba: Nawaona Simba ORIGINAL

    Afanye mambo yake aachane na chibu amezoea kupata kiki kupitia chibu
  12. P

    JamiiForums Tanzania King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

    Kiba na wshabiki wake wanatambua bila chibu hawasikiki hata insta watu wake kila post mbili moja lazima imuhusu chibu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Majengo Tanzania: Marufuku kutumia simu za Mikononi muda wa kazi kuanzia Januari 2017

    Japan inchi ya dunia ya kwanza simu za mkononi marufuku kazini
  14. P

    JamiiForums Tanzania Full interview: Diamond amesema kuhusu Ommy Dimpoz, Ali Kiba, nani mkali, Rihanna na Ross

    Kawaelezeni sasa yeye anapata pesa nyie imbeni na sauti zenu nzuri zitawasaidia baadae
  15. P

    JamiiForums Tanzania Anguko la Diamond ni sawa na "Mr nice"

    Muziki mzuri ni kipato tu vinginevyo koffi angekua baunsa
Back
Top Bottom