Recent content by Pawa chilonda

  1. P

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Vifo 21 watoto
  2. P

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mbona Hii Ripoti Ime Base Upande Mmoja
  3. P

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Jaji Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo, tunakuheshimu, staafu vizuri

    CCM ilishapoteza uhalali kwa watanzania Chama hakina ushawishi tena CCM ya sasa imekua ipo kwa Mujibu wa Sheria tu CCM leo imefikia mahali inaweza waita wanachama Wake na Wasije Leo CCM imekua na baadhi ya Viongozi Wajinga wasojua Watanzania Wanataka kitu gani! Leo CCM haiwezi kuwatumia Mabalozi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yapitisha vyama 17 kuwania Urais Oktoba 29, 2025

    Piga Chini Makamishna Pamoja na DE na Mwenyekiti wa Tume
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yote kwa yote Tume Mmejichanganya Tena

    This is very Bad at All Kailima Alifanya kazi Nzuri sana mwaka 2015 Ila This time around anapuyanga Sana anafanya kazi ya CCM huu Uchaguzi Gani Wa Namna Hii Eeeh? Ni Uchaguzi Gani huu Bias bias Bias kanuni hazifuatwi ACT Wanapaswa kuomba Injunction Ndio njia pekee
  6. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

    This is very sad Story Tuna CCM dhaifu kuliko CCM zote tulizowahi kuzishuhudia Hii Tume haina Uhuru Wa kufanya jambo Lolote na MKURUGENZI wake Ni Mtu wa Pupa Sana katika kufanya maamuzi Msajili ana Double Standard Yupo pale kwa Maslahi ya Chama kimoja Hii sio AFYA kwa Demokrasia Yetu hii sio...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    CCM na Tume Wanashirikiana Kuhujumu Uchaguzi Huu wa 2025 wanatumia Kodi zetu Vibaya CCM ni waroho wa madaraka wanafanya siasa kwa Msaada wa Dola na Tume Yao Mama Anaenda Kuongea na Maimamu anawacheza Shere na hii ni Dhambi kubwa sana ya Dhulma Yani Pamoja na kuwa CHADEMA haipo kwenye Uchaguzi...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    Inasemekana CCM kwa kushirikiana na Inayoitwa Tume Huru ya Uchaguzi wamepanga CCM kwenye urais ipate 99.9% ya Kura Zote na inasemekana Tume kwenye maboresho haikufuta Marehemu Kama ni kweli kinachosemwq mtaani basi Kailima atakuwa Kakosa Uhalali Pamoja na Makamishna Pamoja na Mwenyekiti wa Tume...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui, Waisraeli wana haki ya kuichukua Gaza! Ushahidi huu hapa

    Mpango Wa Israel na Ulichokiandika ni Vitu viwili tofauti Israel Mwisho wake upo karibu sana Pale gaza Wanataka Kuchimba Ben Gulion Canal pale siasa ya uchumi inataka Ku take place Yani kiufupi huyo Israel has nothing to do na hiyo mistari yako ya kibiblia halafu hata wayahudi wanakushangaeni...
  10. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yaungana na kanisa la Katoliki katika maombi ya Kitaifa

    HAKI NA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU SASA JE CHADEMA INASHIRIKI HUO UCHAGUZI MKUU ?? CHADEMA NAYO NI PROJECT
  11. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ina kazi nyepesi mno ya kushinda uchaguzi mkuu wa Oct.kwa kishindo, kukamata dola, kuunda serikali na kuongoza nchi

    ACT na CHAUMMA jisogezeni na Mchukue hints hapa Hii Post Ina maanisha na Sio ya Kisiasa Lakini swali la Kujiuliza Hivi inawezekana Vipi Mbele ya Vyama vingi ya Siasa Ushinde kwa Asilimia 100?? Kwa Akili ya kawaida tu ya kibinadamu hiki Ambacho CCM inakipanga ni Kitu kibaya sana na ni Bomu Kura...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    Unge Site Hiyo Kanuni au Wewe una Kanuni tofauti Tusiongee General ongea Kwa Factum Probandi
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    MATOKEO YA urais Kituoni ni geresha Tu hayo Matokeo Hutumwa Tume Moja kwa Moja na Anachokisema Pole pole Sjui kina uhalisia kiasi Gani Ila Mfumo wa kidigitali wa CCM pia unahitaji Nida au Voter Id Number that's what I know
  14. P

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa

    Rushwa na CCM Ni km Mwili na Damu haviwezi tengana Km Wagombea Ubunge Kuna Mmoja Alikua anaimba Wembe ni ule ule Yule Muhindi aloalikwa kuchangia CCM pale Mlimani city Kuna Kiongozi namba 3 na Namba 4 Wanapokea Sana Milungura toka kwa yule Muhindi na Mwenyekiti anazungukwa Hajui na Mtetezi mkuu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Naenda na Dotto Biteko Uwaziri Mkuu Katika Baraza lijalo la Mawaziri

    Biteko sio mtaasisi Biteko ni Mtu anayejijenga mwenyewe
Back
Top Bottom