Recent content by Paulsylvester

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Sawa mkuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Usihofu chief, mbona kawaida tuu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Na ipo mkuu, fungus upya tarifa hii
  4. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Explain well chief
  5. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Mkuu, nimeweka tahadhari ili usije sema hukuambiwa!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Rasimi tangu Leo 22 Dec 2022
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Mh Rais amewaamini mno watu wake na ambapo anajua kabisa ni majizi sugu na yanaishi Kwa uwongouwongo mwingi kina j, mW, n, n.k
  8. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Kipo kipindi chaja, mishahara itakuwa kizungumkuti! Lakini pia, sio ajabu tukisikia bandari mojawapo imechukuliwa na wakopeshaji wetu, tusije laumu kuwa hatukuambiwa! Ipo pia siku tukaambiwa, wakati umefika Kwa kila mtanzania kufunga mkanda Kwa kujibana zaidi na kufanya Kazi Kwa kujitolea bila...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Kuna trion 1.5 tunamdai mkandarasi kwa kuchelewesha mradi wetu, tutatega masikio tusikie iwapo viongozi wetu wanaumakini na pesa zetu
  10. P

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

    Tujivunie nini nyinyi watu wa Kwa mtogole.? Ulaji wa chips na kukata mauno kama midemu miuza Naniliu? Wanaume wa dar mnamatatizo na msijue nini chanzo, wavaa bukta na vipenzi pumbavu zenu
  11. P

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

    Wewe ni mjinga digidigi Mkubwa, watu wanaandika hoja we unaleta habari za shamba na mjinin! Umjini wake unatusaidia nini sisi..? Pimbi kabisa wewe, ni bora hata huyo wa kijijini na mshamba mchato, huyo wa mjini anaongelea kitu ya mtu wa shamba SGR, je kipi cha mtu wa mjini tujivunie...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ndo nyie mnotusumbua Kwa ukame, tokeni Ihefu, idadi yenu ni 12 tu halafu mnasababisha hasara Kwa watu mamiloni ya Wa tz
  13. P

    JamiiForums Tanzania Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

    Atakuwa alihusika JPM, si bule, Maana viloba na mauwaji ni yeye hakuna mwingine! Eeh Mungu, uirehemu nchi yetu na ccm uifute na watu wake
  14. P

    JamiiForums Tanzania Suala la Ihefu: Mtu mkubwa Serikalini amewekwa mfukoni?

    Inatia uchungu sana Viloba viliwafaa sana watu dizaini hii
Back
Top Bottom