Recent content by PauloKichaa

  1. PauloKichaa

    PreGE2025 Kimei aendelea kuweka rekodi Vunjo, afanikisha kuanza kwa ujenzi wa daraja kata ya Makuyuni

    Anatuma watu waandike ujinga humu utadhan hatujui jinsi hamna cha maana amefanya wananchi wanachangishana kujenga barabara hata vikao hashiriki
  2. PauloKichaa

    PreGE2025 Kimei aendelea kuweka rekodi Vunjo, afanikisha kuanza kwa ujenzi wa daraja kata ya Makuyuni

    Huyu asijisumbue hamna cha maana amefanya vunjo tangu amekua mbunge kimsingi tunaenda kumng’oa. Barabara mbovu mno anagalia barabara za immi,kyuu hadi kilema chini zotebovu ngangu na nk vunjo imerud nyuma miaka 10 Mimi binafsi nakwenda kutangaza nia tulete maendeleo kwa wananchi hawa walioshiba...
  3. PauloKichaa

    Watanzania tunasahau mapema sana

    Ukiangalia yanayoendelea utagundua tatizo la hii nchi ni kutokuwa na dira shirikishi ya pamoja ambayo inatoa mwelekeo wa nchi na wananchi wakaelewa na hii ndio maana kila anayeingia tutamshangilia hasa anapoenda kinyume na mtangulizi wake halafu baada ya muda mbele tunaanza kumkumbuka...
  4. PauloKichaa

    Mkoa wa Kilimanjaro unavyouaibisha mkoa wa Dar e Salaam kitaaluma

    Andiko jema Kikubwa ni chakula na hicho ndio kianweka significant difference katika mikoa hii miwili
  5. PauloKichaa

    Moja ya ndege za ATCL Bombardia iko Zanzibar wiki ya pili sasa inatengenezwa

    Siku hizi kumekua na watu wa ajabu sana yaani ukisoma comment za watu hapa inaonekana kuna watu wanatamani siku moja hata zidondoke wafurahi na wapate cha kuongea
  6. PauloKichaa

    Nawakumbusha tena kuwa Makonda sio mdogo kama wengi tunavofikiria

    Kama alimpiga kofi jaji Warioba na hakufanywa kitu na bado yupo hata mimi namuogopa aisee
  7. PauloKichaa

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Jibu hoja unavua nguo watu wanakula ndipo tulipofikia
  8. PauloKichaa

    Musukuma(Mb): Kwanini msiruhusu bangi kama Canada? Maprofesa wetu ni bure, sisi darasa la 7 tuna akili za kuishauri Serikali

    Miongoni mwa uelekeo wa dunia ni katika mapinduzi makubwa ya matumizi ya mmea wa bangi ambao umeonekana kua na ufanisi mkubwa kwa kutengeneza dawa zenye kuweza kuondoa maumivu makali hususani kwa wagonjwa wa saratani. Lakin licha ya watumizi hayo imeonekana katika nchi mbalimbali mmea huu...
  9. PauloKichaa

    Viongozi wa upinzani bado wako mahabusu 2019

    Inakujae kina Freeman wako mahabusu hadi leo, then Watananzia ambao hutetewa nao kwa mambo mengi wako kama hakuna suala hilo? Ukiwa mstari wa mbele jipange.
  10. PauloKichaa

    Urais wa Magufuli umetuumiza sana wanaCCM....!

    Fanya kazi kwa juhudi hutaanza kulialia ccm ni imara zaid sasa
  11. PauloKichaa

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Natafuta soko la nguruwe shamba liko himo bei nzuri kwa wanaonunua nguruwe tuwasiliane pia nina watoto wa kisasa kabisa white large wazuri
  12. PauloKichaa

    Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

    Kwa Tanzania kinakushangaza nini hapo mnona porojo za kawaida sana
  13. PauloKichaa

    Connecting the Dots: Waziri Mpango na Dotto James(MoF)

    Kua ndugu si tatizo swala kuitumikia nchi kwa weledi na mpaka sasa hakuna shida zaidi ya vijimaneno tu
Back
Top Bottom