PauloKichaa
Senior Member
- Jun 6, 2011
- 124
- 40
Inakujae kina Freeman wako mahabusu hadi leo, then Watananzia ambao hutetewa nao kwa mambo mengi wako kama hakuna suala hilo? Ukiwa mstari wa mbele jipange.
Freedom and demikurasia is expesive..... lazima kuwepo watu to pay the price....hence Mbowe nkInakujae kina Freeman wako mahabusu hadi leo, then Watananzia ambao hutetewa nao kwa mambo mengi wako kama hakuna suala hilo? Ukiwa mstari wa mbele jipange.
Inakujae kina Freeman wako mahabusu hadi leo, then Watananzia ambao hutetewa nao kwa mambo mengi wako kama hakuna suala hilo? Ukiwa mstari wa mbele jipange.
Robert Gabriel Mugabe,Mandela,Nkurumah,Walter Sisulu,Eduardo Chivambo Mondolane,Jomo Kenyatta,Ddan Kimath,Waruhiu Itote A.K.A (General China) baadhi ya wanaharakati wa mageuzi walikinywea kikombe hicho katika nchi zao.Inakujae kina Freeman wako mahabusu hadi leo, then Watananzia ambao hutetewa nao kwa mambo mengi wako kama hakuna suala hilo? Ukiwa mstari wa mbele jipange.
SUBIRINI MAHAKAMA IPO LIKIZO KWA HIYO WATATOKA TU HARAKA YA NINI KULENI SIKUKUU KWANZA
Sent using Jamii Forums mobile app
Braza ushaambiwa wako likizo bac lazimishen watokeUngekua ni wewe usinge ongea hivyo, na hisi hata lock up huja wahi kukaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok poaBraza ushaambiwa wako likizo bac lazimishen watoke
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app