Hapa panachangamoto kubwa hizo tabia ni ngumu kuzivua tunarud pale pale kusali sana na kujituma kuvua hizi unaweza jua makosa ukaja ukasahau yaliyo kupata ukarudi tena
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana Dawa za kulevya nchini, imefanikiwa kukamata Dawa za kulevya zenye uzito wa kilogramu milioni 2 katika kipindi cha Januari hadi Disemba 2024.
“Hiki ni kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya kuwahi kukamatwa tangu mamlaka hii kuanzishwa, katika dawa zilizokamatwa...
Pole sana sio wewe tu unae pitia changamoto Mungu ametupa mitihani ili tuishinde chunguza njia zako je utamzid utakatifu Mungu mimi nilirisk my all things kwa ajili ya Mungu ila siwezi kumkufuru kwa hali ninayo pitia kwa sababu sio mara ya kwanza kupata changamoto naamini nisipo kata tamaa...
Tutajiuliza maswali mengi Kuhusu Mungu ila ukisoma vitabu vya dini vinaongelea busara na hekima za kushinda dunia hii soma vizuri utajifunza mengi nakuona hekima iliyomo hayo mengine yatakuumiza kichwa maana kila dini inazungumza life wisdom tu jinsi ya kuthamini maisha jinsi ya kua muaminifu...
Pole sana kaka aisee nakumbuka mm bimbukwa wangu aliondoka huku akiwa amezaa na mtu watoto watatu yaani maisha haya yanamambo mengi wewe lea tu watoto wako ila kama kuna nafasi ya kumsamehe mke msamehe muelekeze maisha uishi nae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.