Huuu ni mwanzo wa ibada, jiulize ikifika mda mchungaji/padre/kasisi/kuhani/au yeyote mwendesha ibada kutoa baraka za mwisho itakuaje?na uzuri mungu sehemu nying rasilimali mawe,miti,miamba ambayo ktk vitabu vya mungu haijaktazwa kutumia kuwaponda wanyang`anyi na walanguzi pia wezi na...
ukienda kinyume na rules of the game lazma upate red card na ndicho kilichowakuta. chama makin hufanya mambo makin kama meli ya mgiriki ukizamia unatoswa baharini hakuna mwenye hisa na chama chama ndo kina hisa kwako ni bora mtu aondoke aache chama safi na hii rule kwa vyama vyote japo vichache...
Nimeipenda sana hii ya kumtimua huyo waizir maana angekua na maana angechukua hatua had sasa hiv kwa walioua mwaandish mwangosi maana kila kitu kipo wazi ukizingatia picha wahusika zipo clear kuliko maelezo tangu magazetin had mitandaoni leo anapeleka miguu jangwani tena wamemheshim wangempiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.