Recent content by Paul Newman Daudi

  1. Paul Newman Daudi

    Mshahara kama huu haujawahi kutokea

    welfare of the peaple is responsible for the peaple themselves and their government,xo pass over opportunity repeatedly may sometime be caused by the government
  2. Paul Newman Daudi

    SAUT na Vyuo vingine, Shule za kanisa havina malengo ya kweli kumkomboa mtoto wa maskini wa TZ.

    Linganisha elimu na kiwango cha gharama na so kuangalia gharamatu
  3. Paul Newman Daudi

    Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

    Hii ni kwa sabababu wengi wao hawna msingi mzuri katika levals za chini walizopitia.mfano wanafunzi wengi hawana msingi mzuri kwenye somo la ACCOUNTING hivyo hata wakipigwa lecture ni vigumu kuelewa kirahisi.lkn kuna haja kwa TCU kuwaweka wanafunzi kwenye course zao kulingana na misingi yao.kwa...
  4. Paul Newman Daudi

    Lema: Nitabeba zigo la mabilioni ya Uswisi

    KAKA WABANE HAWA HAWA WEZI UTAKUWA UMEWASAIDIA WANYONGE.USIOGOPE MAANA UOGA KATIKA KUTETEA HAKI NI DHAMBI(Mtoa hoja bungeni ni muoga)
  5. Paul Newman Daudi

    Lema: Nitabeba zigo la mabilioni ya Uswisi

    Bora kaka!utakuwa umesaidia kulejesha kodi za wanaachi ili zitumike kwa ajili ya maslahi yao.naona waibuaji wa hoja wamekaa kimya.
  6. Paul Newman Daudi

    Wassira kama Tyson, aandaa kuumiza Taifa aingie Ikulu!

    Hawa wanaojiita vigogo wa serikali wanafanya haya maovu pasipo uzalendo kwa nchi yao kwa sababu wameshagundua muda wao wa kufungasha virago umefika hivyo wanaona maslahi yao kwa sasa ni bora kuliko maslahi ya taifa."HATA WAKOLONI WALICHUKUA MALI ZETU WAKIJUA IPO SIKU WATAONDOKA KWETU" Hivyo...
Back
Top Bottom