Recent content by Paul mkombozi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mikoa masikini zaidi nchini Tanzania kwa mwaka 2017/2018

    Wamekariri kwamba mtwara ni kwa ajabu watembee nmebahatika kutembea mikoa mingi sana hapa tz mingi kati ya hiyo uwezi kufanananisha na mtwara Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dangote kusimamisha kazi zake Tanzania

    Acheni kujichanganya alieanzisha uzi ni mkenya acheni kuendelea kuchangia hayo mambo sio kweli mm npo hapa mtwara baba yangu mdogo ni mwajiriwa wa dangote hakuna issue kama hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IAAF - Kenya Ndiye Baba Yao

    Alphonce simbu aliwakilisha Tanzania Brazil na kushika nafasi ya tano Sent using Jamii Forums mobile app
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bilionea Mkenya aamua kutikisa mji wa Eldoret kwa uwekezaji wa kutisha

    Special economic zone ya wapi wasanii tu hao wanawazingua uchaguzi huu mtafanyiwa maigizo na huyo uhuruto mpaka siku ya uchaguzi
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Keiyo man commits suicide after wife gives birth to twins

    Kaona na njaa hii isiwe tabu
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bilionea Mkenya aamua kutikisa mji wa Eldoret kwa uwekezaji wa kutisha

    Two bln usd viwanda 400! Hivyo sio viwanda yatakuwa magala
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hizo zote ulizozitaja hazina branches zaidi ya nne hapa Tanzania
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Usidanganye kcb bank only three branches hizo zingine sijui equity is not Kenya bank
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatia rekodi mpya kwenye ukusanyaji wa kodi na kufikisha KSh1.114 trillion

    Uongo wa kupindukia sio sahihi hiyo revenue
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nakuru wamecheza na simba b wakubwa wapo misri kwenye timu ya taifa
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachumi Kenya wadai reli mpya haitailipa nchi hiyo, na yenyewe Itajiuza kwa China kulipa deni lake?

    Naomba nkusahishe hapo mkataba wa kampuni ya China ulikuwa dola billion 7 sawa na tsh 14 trillions na sasa magufuli imeshuka mpaka dola billion 5 usiongope ndio maana akaamua kuwapa uturuki tenda wachina walizidisha gharama za mradi
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ni nini sababu ya vifo vingi wakati wa kuhiji?

    Kafara hizo
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sema wawekezaji kutoka Kenya na sio Kenya company!
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Twitter: Kenya Vs Tz (Battle)

    Huku Kuna m bet hiyo sport pesa imeingia juzi tu bado haina wateja wengi labda waendelee kujitangaza
Back
Top Bottom