Hivi zile ajira za NSSF zilizokua zinahitaji operation officer zilizotangazwa mwez wa sita vipi bado tu hawajatoa majinawatu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili au nipo outdated msaada jamani humu jamvini.
maalim seif anaota au yaan serikali ya muungano ipate raisi kutoka zanzibar kivipi wanataka waitawale zanzibar na tanganyika kwa wakati mmoja kwan zanzibar ina serikali yake raisi makamu wa raisi na ngazi zote za kiserikali lakn tanzania bara iliobeba jina la muungano ina rais na makamo wa rais...
mtu kama unanuka ni kero huwez kupigiwa gitaa kubembelezwa ukajisafishe mfano kinywa kikiwa kinatoa harufu hata hamu ya mapenz inaisha pia jasho linakera mpenzio akikueleza ukweli haimanish amekuchoka ila anataka awe free akupe penz
ww serikali mbili siyo mtazamo wa wassira wala bulembo ni sera ya ccm tangu mwl.nyerere yupo hai alikua anasisitza hlo pia nchi haendeshwi kwa upambe et bulembo na wassira wa-influence mchakato mkubwa kama katiba haiwez kua hvo maneno ya kjiwen ni ya kuyaacha huko kwan wanaongea unakuta wanataka...
huyu shibuda kila chama kwake anakiona hakina haki wakati anahama ccm alitoa maneno mengi sana akaomba uanachama cdm akapewa akachukua jimbo sahv ameichokonoa cdm kwa usaliti wake wa wazwaz na hata kuhofiwa kwamba ni kibaraka mwshowe anaanza kuitupia lawama cdm tena hv nan tatzo ni vyama au yy...
kati ya watu wajinga kibonde ni mmoja wapo anadhani kuwa mc kwenye hafla znazohusisha viongoz yupo above the law alitakiwa kudhalilishwa zaid ya hapo maana haana mchango wowote kwa jamii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.