Nisamehe sana katika karne hii unakaa unaandika madhaifu ya dini nyengine jitafakari sana ndugu,je kama ungezaliwa katika ukristo nadhani ungeyaona madhaifu ya uislamu
Uganga ni tiba kwa mwanadamu na vitu vinavyotumika ni miti shamba au tuseme mizizi na jina M/MUNGU linatajwa kama linavyotajwa kwenye nyumba za ibada,Imani za kuja zisitufanye tukadharau asili zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.