Recent content by paul castelano

  1. P

    JamiiForums Tanzania Swali

    Jaman mm n kijana miaka 23 nipo dar nahitimu chuo soon,, ila kama mnavojua ajira zetu sisi son of peasants ni uwinga..naombeni mwongozo ndugu zangu nahitaj niwe winga kariakoo niwe nakaa na mtu dukani yaan nipate riziki vilevile nijifunze biashara kwa vitendo,,, ile ya kwenda dukani na kuomba...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nikisoma kozi fupi ya OSHA itanisaidia kupata kibarua?

    Habarini ndugu zangu mm ni kijana wa miaka 23 nimemaliza chuo hv karibuni ila sina mchongo wowote mtaani sasa nina idea za kusoma short course za OSHA, huenda nikapata hata kijikazi cha kujishikiza hapa mjini. Sasa nauliza, jaman kwa wenye uzoefu hv hizi kozi za OSHA ni kwa walio makazini tu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kozi gani fupi inaweza kunifanya ni jiajiri haraka?

    0687347334 Nichek whatsp bac unipe madini
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kozi gani fupi inaweza kunifanya ni jiajiri haraka?

    Umenifungua akili broo ngoja nikafatilie hii OSHA nione.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kozi gani fupi inaweza kunifanya ni jiajiri haraka?

    Jaman nauliza kwamba ukiachana na driving hivi ni short course gani inaweza kunilipa na kunifanya niweze kuishi jijini Dar es Salaam vizuri na pia nikaweza hata kuweka akiba ya 300k ndani ya mwezi? NB. Driving sasa hivi ishakuwa miyeyusho vigezo buku kama unaomba tenda ya billions of dollars...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Swali

    Wajombq hv cozi ya cargo scanner inatolewa chuo gani na vigezo n vp pamoja na ada?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kazi unaambiwa uwe na NIDA lakini eti uwe pia na barua za wadhamini, ya nini sasa wakati taarifa zipo NIDA?

    Kama ni hivyo kwa nn asitumie nida kuangalia taarifa zangu anikamate
  8. P

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kazi unaambiwa uwe na NIDA lakini eti uwe pia na barua za wadhamini, ya nini sasa wakati taarifa zipo NIDA?

    Unapojibu kitu broo punguza mihemko jitahidi kujishikilia huwez kaa kimya sio kuni
  9. P

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kazi unaambiwa uwe na NIDA lakini eti uwe pia na barua za wadhamini, ya nini sasa wakati taarifa zipo NIDA?

    Nazani haujanielewa hebu rudia kusoma tena uzi wangu hapo juu mm naitaji nieleweshwe
  10. P

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kazi unaambiwa uwe na NIDA lakini eti uwe pia na barua za wadhamini, ya nini sasa wakati taarifa zipo NIDA?

    Mimi kuna kitu huwa kinanichanganya hususani katika suala la kuomba kazi utaambiwa vigezo ni namba za Nida au kitambulisho cha taifa lakini bado utaambiwa ulete barua mbili za wadhamini.. Sasa mimi huwa najiuliza ikiwa tayari umeambatanisha namba zako za Nida barua za wadhamini ni za kazi gani...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya kujitolea

    Sawa kaka
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya kujitolea

    Habarini ndugu zangu, mm n kijana wa miaka 23 nakaa dar es salaam mabibo, nina leseni ya udereva class D natafuta sehemu ya kujitolea nipate uzoefu zaidi na conntions kama ikiwezekana,, may be una private car au vyovyote vile sihitaji malipo yoyote kwa sasa focus yangu n kupata sehemu ya...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vigezo gani vinahitajika ili kupata mikopo ya halmashauri

    Naomba kujua vigezo gani vinahitajika ili kupata mikopo ya halmashauri
Back
Top Bottom