Recent content by Paul Baltazar

  1. P

    Kwanini mtu anakuwa masikini mpaka kufa?

    UMESEMA UKWELI NA HILI NI TUNDA WAKILITUPIA MAWE NAMI NITAANZISHA UZI.MKUU, NAKUBALIANA NA WEWE KABISA,TENA NAOMBA KUPATA KITABU AU KITINI KUHUSU HILI LA SAYANSI KUDHIBITISHA UWEPO WA MUNGU,SHETANI N.K.Ubarikiwe !
  2. P

    Kwanini walimu hawazeeki mapema?

    ULICHOSEMA NI KWELI KABISA MKUU : Maana hata mimi namfahamu mwl aliyewafundisha mama zangu wadogo,mpaka leo ni kijana tu. Ajabu amekuja kuolewa na mwanafunzi wake.Ukimtazama jamaa(mumewe) yeye anazeeka lakini mwl bado anadunda. NADHANI KUJIEPUSHA NA TABIA ZA UHUNI NDIO SIRI.
  3. P

    Kwanini Lissu, Mnyika, Slaa na wengine hawakuwepo kwenye mapokezi ya Lowassa?

    Kwenye ukumbi Mhe.Marando alikuwepo na hata baadhi ya wabunge wa Cdm niliwaona.Au ulitaka wawepo meza kuu.
  4. P

    Msaada: Mwanangu amepinda mguu

    pole sana,mpeleke mwenge kwa bishop kakobe,alishaombea mwenye mguu mfupi ukanyooka ukawa kama wa pili.hakuna la kumshinda mungu.
  5. P

    Natafuta mume mwema

    JE WEWE NI MJANE ? Huyo mtoto ulimpataje ?
Back
Top Bottom