Recent content by Patrick2000

  1. Patrick2000

    JamiiForums Tanzania Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Msaada jmn
  2. Patrick2000

    JamiiForums Tanzania Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

    Habari wadau, Mimi nimekuwa mtumwa wa pombe, natamani sana kuacha ila nashindwa. Nani amepitia hii situation na kufanikiwa kuacha? Msaada please.
  3. Patrick2000

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata huduma ya kupima DNA na ni bei gani?

    Gharama yake ikoje?
  4. Patrick2000

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata huduma ya kupima DNA na ni bei gani?

    Habari ya muda huu wadau, nawezaje kupata huduma ya kupima DNA ni wapi ntapata huduma na ni bei gani?
  5. Patrick2000

    JamiiForums Tanzania Nywele kipilipili zanitesa

    Wadau naomba kujua nawezaje kukomesha kipilipili au kama kuna mafuta mazuri ya nywele ni yapi msaada tafadhali
  6. Patrick2000

    JamiiForums Tanzania Challenge: show your hand watch.(saa ya mkononi)

    My watch
  7. Patrick2000

    JamiiForums Tanzania Lotion kwa Wanaume

    Wanajamii naomba msaada, lotion nzuri kwa wanaume wenye ngozi yenye mafuta maeneo yenye baridi. Nawasilisha.
  8. Patrick2000

    JamiiForums Tanzania Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

    Wana jamii habari za muda huu? Naomba kujua ni kwanini watu wengi wanapenda kuhama usiku???
  9. Patrick2000

    JamiiForums Tanzania Kwanini hizi ndege hupita juu sana na kutoa moshi mwingi?

    Zile ni rocket na zinasifa ya kusafiri umbali mrefu ndo maana huwa zinatembea mbali sana pia kutokana na muungurumo wake lakini pia ndege hizo zinasifa ya kuchoma mafuta mengi ndo sababu ya ule moshi.
Back
Top Bottom