Recent content by Patrick Nyemela

  1. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco kwanini hamjibu suala la upatikanaji wa mita za three phases? Tumelipia muda mrefu, tatizo nini? Serikali inahimiza nchi ya viwanda Tanesco mita za umeme hazipo!!!
  2. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nasubiri jibu kuhusu upatikanaji wa mita za three phase
  3. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa muda sasa kumekuwa na tatizo la upatikanaji wa mita za three phases. Je tatizo nini? Na lini mita hizo zitaanza kupatikana? Nimelipa
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Vilaza wa kimataifa!!!! Kapigwa kapigwa tena, hahahaha.
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

    Hawa jamaa kweli vilaza wa kimataifa. Wanakubaliana na manji bila kujua kwa Kina dhamira yake kwa miaka hiyo kumi ijayo.
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    Msibani hakuna kiingilio, manji alijua kabisa kuwa hawatoki hivyo kupunguza machungu kwa wanae akaona waingine bureeee!!!! Hahahaha
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    Watoto wa manji wamesha tumbuliwa 1
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Taifa, mpira kati ya Yanga ya Tanzania na APR ya Rwanda, Yanga imesonga mbele

    Kwa kukataa Azam isionyeshe huo mchezo je Yanga wana alternative TV ipi ya kuwapatia pesa zaidi? Au in ule ushindani usio na kichwa wala miguu?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wahindi wamehodhi nyumba katikati ya jiji?

    Acheni fikra za kibaguzi kwa hao wahindi sio watanzania? Hizo nyumba zilikuwa zao na Nyerere hakuwatoa kwenye nyumba hizo baada ya kuzitaifisha mwaka 1971. Soma historia na pia soma sheria ya utaifishaji wa majengo hayo (the Building Acquisition Act, 1971) ili kuelewa zaidi.
  10. P

    JamiiForums Tanzania CCM kumtembeza Magufuli Mikoani kwa kutumia ndege ya Serikali ni Sahihi?

    CUF walifanya hivyo pia wakati wa kuwatambulisha Seif Sharif Hamad na Lipumba.
  11. P

    JamiiForums Tanzania CCM kumtembeza Magufuli Mikoani kwa kutumia ndege ya Serikali ni Sahihi?

    Sio kila jambo lipo kwenye katiba wewe nenda Tanzania Government Flight Agency (TGFA) ndio wakodishaji hakuna siasa hapo ni biashara.
  12. P

    JamiiForums Tanzania CCM kumtembeza Magufuli Mikoani kwa kutumia ndege ya Serikali ni Sahihi?

    Hata ukawa wakitaka wanaweza kukodi tu.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Yanga bana!

    Hahahahahaha!!!! Jerry Muro safari imewadia anza kufungasha.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

    pesa za escrow hakugawana na kina mama sasa anataka atetewe baada ya mambo kwenda kombo.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Karibu Eliakim Maswi, Jimbo la Tarime lako 2015

    Tumbili kamshinda sijui Kama utaliweza jimbo la kina mura????!!!!!
Back
Top Bottom