Recent content by patrick kalonga

  1. P

    JamiiForums Tanzania Medical laboratory vs Clinical medicine

    Mbna hjajibu swali mkuu ebu usitafute umaarufu usio na sababu.....jiheshimu hkuna MTU aliyefanikiwa bila kuomba ushauri na mawazo ya wngine panya wewe
  2. P

    JamiiForums Tanzania Medical laboratory vs Clinical medicine

    Wanajukwaa please kwa heshima na tahadhima naomba kujua kati ya kozi tajwa hapo juu ni ipi nzuri kusoma kwa sasa kwa uzoefu na ujuaji wenu Asanteeeni nyote
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Medical laboratory na clinical medicine

    Daah pole sana kk lkn vp kuhusu mapindi wanapigisha au mznguo 2?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Medical laboratory na clinical medicine

    Kwann E="scubby, post: 17975056, member: 388073"]Kwa chuo cha kam akasome medical lab tu..... Akikimbilia clinical medicine ataumia. Kwann umesema hvyo mkuuu??
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Medical laboratory na clinical medicine

    Habari ndg zanguni? kichwa kinajieleza vyema.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Waalimu,Stress zenu msimalizie hasira watoto watu.

    Kidogo nn="Ugoro, post: 17934927, member: 76004"]Nimeumia baada ya kuona video inayosambaa mitandaoni,waalimu wanne wakimuadhibu mwanafunzi yule wa secondary. Waalimu timizeni majukumu yenu shule sio kambi ya jeshi.kutokana na kusambaa kwa video hiyo kwa kiasi kibubwa ni wazi kwamba ajira zenu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania NACTE Mungu anawaona

    Hawa nacte wanachowaza wao ni pesa 2............ Yaan pamoja na kutoa pesa zetu lkn bado wnafanya kazi kama hatutoi pesa Ukiwa ni mtanzania wa hali duni huwezi soma kwa kwel maana sekta ya elimu imejaa watu wanaowaza pesa na si kitu kingine
  8. P

    JamiiForums Tanzania ARCHBISHOP JAMES COLLEGE

    Bonge la chuo hcho kapige buku kipo songea mjini.. ...MD bata sna pale
  9. P

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Swali la Mh. Silinde juu ya kushushwa GPA kwa Diploma kujiunga Chuo Kikuu

    Nina wasiwasi na ww ndg juu ya uwezo wako wa kufikiri.. ..sas umejibu swal au umeleta mada nyingine hpo.. ....kwan kuna mtu hjui kwmba gpa y 3 ni kubwa ?? Ishu kma walitambua ni kubwa kwann waliweka 3.5. . Wamepoteza malengo ya watanzania wengi kwa kukurupuka kwnye maamuzi yao. Angalia wadogo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania medical lab vs clinical medicine vs pharmaceutical

    Plz wakuu binafsi nmechaguliwa ordinary diploma ya pharmancy but mm nilitamani sana nisome clinical medicine lkn baada ya kuomba ushauri kwa watu walionitangulia wakanigusia pia medical labaratory ........sasa plz ndg zangu naomba kama mnaweza kunisaidia juu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Medical Laboratory vs Clinical Medicine

    Swali nzur medical lab IPO poa zaidi mzee
Back
Top Bottom