Ipi bora kati ya Medical laboratory na clinical medicine

Kwa chuo cha kam akasome medical lab tu..... Akikimbilia clinical medicine ataumia.
 
Kwann E="scubby, post: 17975056, member: 388073"]Kwa chuo cha kam akasome medical lab tu..... Akikimbilia clinical medicine ataumia.[/QUOTE]
Kwann umesema hvyo mkuuu??
 
Department ya clinical medicine kwa kile chuo haipo vizuri....
Mimi ni mmoja ya wahanga niliopatwa na matatizo ya department hiyo...... Nilikuw mwaka wa kwanza lakini sikuruhusiwa kufanya mtihan wa kumaliza mwaka kwa sababu zisizojulilana yote uzembe wa department at the end wakaniambia sijalipa ada wakati risiti ninayo. Saivi nipo nahangaika kutafuta chuo kingine tu maana nishashitaki mpaka kwa waziri wa afya na waziri wa elimu lakini sikutatuliwa tatizo langu.......
Na mwenye chuo ananambia nirudie mwaka kwa gharama zangu mwenyewe
 
clinacal medicine unasoma mambo mengi zaid ikiwemo lab,nursing na pharmacy... kazi kwako
 
Kozi ya clinical medicine inabeba kozi zote za afya....... Lab,pharmacy,nursing zote

Kwa hiyo una maanisha clinical officer anaweza fanya kazi za pharmaceutical technician?Lakini pia unajua tofauti ya pharmacy na pharmacology?
 
Na ndio maana mara nyingi kwenye vituo vidogo vya afya huwa hamna pharmacist,clinical officer hufanya kazi hiyo
 
Habari ndg zanguni??

Nina mdogo wangu ambye amechguliwa diploma ya medical laboratory chuo cha KAM......... Lkn yy antaka clinical medicine

Tumeuliza watu kma wawili hvi wnasema kwa diploma bora abaki medical laboratory

Sasa wapendwa naomba mchango wenu wa mawazo kabla hyu mdgo wngu hjafnya maamuzi na baadae akajutia


Please msaada wenu
Anaeenda kam anichek kwa hii # (0676 437 776) nimpe more infos na cautions
 
Kozi ya clinical medicine inabeba kozi zote za afya....... Lab,pharmacy,nursing zote
Clinical medicine na Pharmacy ni course mbili tofauti,anaesoma CM atasoma pia pharmacology na sio pharmacy

Clinical officer in absence of a pharmaceutical technician hufanya tu dispensing,kitu ambacho ni kidogo sana ukilinganisha na shule nzima ya pharmacy

Hivyo basi,sio kweli kwamba cm inabeba kozi zote za afya,bali ina vipengele baadhi vinavyohusu pharmacy (kama pharmacology) etc etc
Pharmacology n module anayoxoma m2 wa pharmacy

Na ndio maana mara nyingi kwenye vituo vidogo vya afya huwa hamna pharmacist,clinical officer hufanya kazi hiyo
 
Back
Top Bottom