Ila kweli mkuu, hakuna haja ya watu kuuwawa namna hiyo, hata kule mashariki ya kati inabidi Palestina ampe Israel anachotaka ili amani ipatikane, Yemen wampe saudia anachotaka ili utulivu uwepo.
Hii reli hatuwajengei wacongo, warundi wala wazambia bali tunajijengea sisi wenyewe watanzania, na watanzania wengi wanaishi dar na kanda ya ziwa na ndo maana wakapewa kipaumbele, tunataka watanzania wasafiri kwa bei nafuu na haraka, tunataka watanzania wanunue bidhaa kwa bei nafuu ndo maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.