maneno yako
si ya bbusara hata kama ni mahaba niue.Hakuna kizuri kisicho na kasoro yeye pia ana mapungufu yake hivyo wanaokosoa ndo wanaona.we kama unamwona mzuri mkeo au mmeo usilazimishe mwengine kumwona hivyo.
hahahah et hongera wakati unajua kabisa kanisani si pa siasa na kila mtu ana uhuru wake hivyo hata kama akiwaambia nini kila mtu atachanganya na za kwake maana si lazima uchukue za kuambiwa.mtahema sana kipindi hiki kutoa elimu hata kusiko takiwa kama chama kimekufa mihemko na hekaheka za nini...
ukiwemo nini? maana mlevi kamwe hakubaligi kalewa na hakawii kumwona mwenzie kalewa.Sio kila mtu mpiga dili fungukeni wapi mmekosea.maana usilolijua ni usiku wa giza....so better keep quite........
Jamani kuweka hela fixed sio dhambi mbaya ni faida inaenda kwa nani na ni risk gani itakuwepo kipindi hela ziko fixed?So hapo kosa si kuweka fixed kosa ni nani anakula faida basi .
watu
kama nyie kuwepo sishangailakini waswahili walisema asiesikia la mkuu.................na usipoziba ufa...........sidhani kama walikua wajinga.na dalili za mvua ni mawingu.leo kwake kesho........... it is the matter of time!!!!!!!
ndugu mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Hawa watu si wajinga kuachia route na vilevile walikua the cheapest ever lakini bado wanaface challenge sembuse ndege yetu pendwa kwa bei zake zile zitasustain?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.