Recent content by PathwayzZote

  1. PathwayzZote

    Msaada wa namna ya kuirudisha namba ya NIDA iliyofungwa

    Sasa Nilisajili namba angu yenye utambulisho wangu .ile nyingine haikuwa na utambulisho wangu
  2. PathwayzZote

    Msaada wa namna ya kuirudisha namba ya NIDA iliyofungwa

    Sikuona meseji mkuu Na namba niliyosajilia 2021 leo hii 25 Sina mzeee
  3. PathwayzZote

    Msaada wa namna ya kuirudisha namba ya NIDA iliyofungwa

    Ni ishu ya kutokufata kitambulisho
  4. PathwayzZote

    Msaada wa namna ya kuirudisha namba ya NIDA iliyofungwa

    Lazima niende mimi kama mimi???
  5. PathwayzZote

    Msaada wa namna ya kuirudisha namba ya NIDA iliyofungwa

    Sihitaji kubypass bali nahitaji. Njia za kufwata ili kuiactivate tena
  6. PathwayzZote

    Msaada wa namna ya kuirudisha namba ya NIDA iliyofungwa

    Wakuu habari 💪 Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮‍💨 Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵 Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za NIDA Zilizofungwa? Wamenifungia kwa sababu ya kitokuchukua kitambulisho Na ukiangalia mimi niko mbali...
  7. PathwayzZote

    Wenye malengo ya kukwea mamtoni kwa njia ya UFADHILI wa masomo njooni hapa kwanza tuone tunafanyaje maana tukisubiri CONNECTION tutaisha

    HAKIKISHA una PASSPORT Kama huna sema uelekezwe kwa kuipata Niaje wakuu Lengo la group letu ni kupeana taarifa na mbinu pia scholarship na fursa zote zitazakazotupeleka NJE YA AFRICA. GROUP hili linahusu kutafuta SCHOLARSHIPS ikiwa lengo sio kwenda kusoma but lengo ni kukwea pipa Ila kwa...
  8. PathwayzZote

    Make money online using AI

    HEY THERE Want to make money online with minimal effort? AI-powered content creation is the game-changer you need! From writing blogs and social media posts to creating eBooks, AI tools are helping creators boost productivity and income like never before. 💸 In this post, we go dive into: How...
  9. PathwayzZote

    Freelancing: Where to Start, Pros and Cons, and How to Sign Up

    http://pathwaysalle.blogspot.com/2025/04/how-to-become-virtual-assistant-with-no.html
  10. PathwayzZote

    Freelancing: Where to Start, Pros and Cons, and How to Sign Up

    http://pathwaysalle.blogspot.com/2025/04/how-to-become-virtual-assistant-with-no.html
  11. PathwayzZote

    Freelancing: Where to Start, Pros and Cons, and How to Sign Up

    Freelancing: Where to Start, Pros and Cons, and How to Sign Up Ah, freelancing! It's the dream for many of us looking to work from home, be our own boss, and earn money flexibly. And guess what? It's possible to make it big, especially with so many freelancing platforms that are just a click...
  12. PathwayzZote

    Kati ya Marekani na China, wapi ni bora kifursa?

    Sema ni kweli asee China kule sio kwa fursa Wachina wamejazana bonho kuuza kahawa Ila kwa bidhaa bei chee za kuuza bongo ndo unyama
Back
Top Bottom