Kusikia Balali yuko hai nahisi kizunguzungu, hivi kama ni kweli yu hai ndiyo nini? hii nchi ni tanzania ama? tunaongozwa na watu wasio serious ? fanyeni utafiti wa kina kupata ukweli wake, ili ikidhihirika ni kweli, du! viongozi wa nchi wapewe nishani kwa...
Ikibidi katiba mpya ni lazima, watanzania walio wengi wameamka, waliolala ni wachache. Walioamka mungu anawaona na watafanikiwa kwa kutaka katiba, hakuna kulala mpaka kieleweke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.