Recent content by PATCHO

  1. P

    JamiiForums Tanzania Sumbawanga: Mgombea Ubunge wa Kwela CHADEMA Daniel Ngogo apata ajali

    pole sana kiongoz
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Magufuli adhibitiwa na CCM

    Huwezi sukuma gari ukiwa ndani ya gari... magufuli hata afanyeje yupo ndani yachungu chenye ukoko uliochacha naunanuka hivyo nayy lazima anuke tuu haata atumie oafyumu ya aina gani
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Magufuli adhibitiwa na CCM

    Huwezi sukuma gari ukiwa ndani ya gari... magufuli hata afanyeje yupo ndani yachungu chenye ukoko uliochacha naunanuka hivyo nayy lazima anuke tuu haata atumie oafyumu ya aina gani
  4. P

    JamiiForums Tanzania NAPE kushtakiwa mahakamani kwa uchochezi na matusi.

    Nape hana lugha yakisiasa kwasabu muda wote anawaza uchafu akilin mwake,hajawahi nadi sera zachama chake toka kampeni zimeanza yy niuchafu wamdomo tu, nasidhani kama ataishi kwa amani baada ya octb25 kwwsabu atakuwa mpayukaji wachama kikuu chaupinzani. Iringa asilimia miamoja alimsema Lowasa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Mtama Nape hali mbaya

    Mdomo wanape sijawahi kuusikia ukitoa kauli yenye kuashiria ukomavu wa kisiasa, maneno yake yote ni vivumishi vikurupushi vya matusi, ama kweli uwezo wake wakufikiri kisiasa upo mochwari
  6. P

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Magufuli, kuhusu Malipo ya Kigamboni

    Bakora kwa magufuli hiyo nabadooooo,utapata kura zawanao, mkeo, maana hata wajukuu wako hawakuamini
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hata sisi CCM hatutaki katiba ya UKAWA, UKAWA ni kikundi kidogo sana cha WAHUNI....

    Huyo anayedai UKAWA ni kikundi cha wa.....ajitafakari UKAWA wanasimamia maoni yawananchi sichelei kusema hyo katiba inayopendekezwa ndiyo imejaa mapendekezo yawahuni naweziwachache(maccm) wasiopenda uwajibikaji. Jitambue ww usijikatae, nani asiyejua kilichotokea Dodoma, wezi wote walibaki...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Polisi wamvamia Bulaya hotelini

    Mwaka huu wataisoma namba A.K.A amekinaii watapigishwa kwata hadi wakome
  9. P

    JamiiForums Tanzania Njia Ya Muongo Ni Fupi, Magufuli Ni Muongo Sana

    Hilo ni guta
  10. P

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Dr. Lwaitama Kuhusu Hotuba ya Dr. Slaa...

    Salute kwako mwl wangu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wavamia Lumumba kudai hela za mafuta

    You guys you are talking foolishness. shame on u
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa mkikimkiki tarehe 30 Agosti, 2015; Mada UTAIFA ( sera za vyama)

    Waaapiiiii nawaulizwa maswali akina nani, maana tumetajiwa vyama tu,isije ikaonekana kweeli tumekimbiwa nahao wanasiasa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa mkikimkiki tarehe 30 Agosti, 2015; Mada UTAIFA ( sera za vyama)

    Waaapiiiii nawaulizwa iisijw ikaonakana kweeli tumekimbiwa nahao wanasiasa
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini ccm hawataki kukiri udhaifu

    Hali ya kisiasa inayoendelea nchini inajidhihirizha wazi kwamba ccm wako taabani kisiasa na wanachokifanya ni kujikaza kisabuni, sasa niwazi maandalizi yakuletwa kwa magari mengi yakipolisi niushahidi tosha kwamba ccm wataponea huruma za polisi ili wafunge GOLI LAO LAMKONO.. Lakin bila hivyo...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini ccm hawataki kukiri udhaifu

    Hali ya kisiasa inayoendelea nchini inajidhihirizha wazi kwamba ccm wako taabani kisiasa na wanachokifanya ni kujikaza kisabuni
Back
Top Bottom