Recent content by PATADIKUPATILE

  1. P

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Habari zenu,naombeni msada wa hizi maana za misemo, Kuua tembo kwa ubua, mtu kidole ,kutingisha kiberiti
  2. P

    22 wafukuzwa Nyegezi Seminary kwa tuhuma za ushoga

    Acha,uzushi ulio pitiliza,uislam unapinga vikari ushoga,Au,kuingilia kinyume na maumbile,na adhabu yake ni,kuuliwa mfano hata tukio la kuuliwa mashoga hivi karibuni malekani ndio maana lilikuwa linahusishwa na uislam,pia hakuna hata nchi moja ya kiislam inayokubali au kuruhusu ushoga
  3. P

    Muslim University of Morogoro yatoa mikopo (Ada) kwa wanafunzi 2016/2017

    Waulize au tafuta fomu ya kujisajili Saut Ya Mwanza utaona kipengele hicho cha dini,na watu hawachukulii mtazamo hasi kwa sababu sisi ni binadamu kiutaratibu ukifikwa na baadhi ya matatizo mfano kifo lazima ufanyiwe utaratibu na imani yako,so why mum,lawama kibao?
  4. P

    Muslim University of Morogoro yatoa mikopo (Ada) kwa wanafunzi 2016/2017

    ""Tutakilaum,endapo asiyekuwa muislam anatengwa au muislam anapendelewa kwa upande Wa taaluma,,lakini madamu ni Chuo cha kiislam waislam wanahaki ya kupewa vipaumbele vinginevyo,na tusiangalie mum,pekee,tuangalie na vingine,,utaona mengi, hivyo ,na ukisema litolewe neo Muslim,si sahihi kwani...
  5. P

    Muslim University of Morogoro yatoa mikopo (Ada) kwa wanafunzi 2016/2017

    Kuulizwa,dini chuoni sio mum pekeake,mi nimemaliza Chuo hapa nchini cha taasisi ya dini wakati Wa kujisajili lazima utaje dini yako
  6. P

    Unguja waongoza kwa elimu duni

    Kama uko huko,fine,andaa proposal na kafanye utajua sababu!na ukiziweka mtandaoni,haziwi tata
  7. P

    Unguja waongoza kwa elimu duni

    No research no right to say,, Ndugu Fanya utafiti utajua kwa nini wanafeli, hapa, mtoto anayeenda madrasa akijitambua hawezi feli ,ila kama hajitambui,pia unapitafuta sababu ya kufeli not depend to one factor,kuna sababu nyingi zinazowafanya wafeli,,hata huku bara zipo,shule pure Islamic mbona...
  8. P

    Unguja waongoza kwa elimu duni

    Ndugu, sikweli kwamba dini, inachangia kufeli,mfano umetaja hijabu,kwa waislamu ni lazima kuvaaa,pia hakuna uhusiano Wa kufeli na hijabu,,, Mwanafunzi yeyote akiwa anafuata mafundisho ya dini,hawezi feli,mfano,kuna maalifa ya uislam,baibo noleji,nk huyu mwanafunzi atafaulu masomo haya kama kweli...
  9. P

    Jogoo wangu amepinda

    Yani,mkuuu,haija nyooka,nikisimamisha kichwa kinaangalia juu baada ya mbele
  10. P

    Jogoo wangu amepinda

    Mkuu,kama unajua njia nisaidie,picha huoni sio maadili
  11. P

    Jogoo wangu amepinda

    Naombeni msadaa, Jogoo wangu anapinda kwenye shina na anakuwa kikwazo kwenye mahusiano kwani akiingia mpenzi wangu anasema anamuumiza. Je, nifanyeje wakuu ili anyokee,kwani dada wengi ninaokutana nao wanalalamika sana, yani kichwa chake kinaelekea juu baada ya mbele.
Back
Top Bottom