Unatambua kwanini mwanamke aliesalitiwa anasamehe na mwanaume dont?

WANAUME TUNA NDOGO, KATI NA KUBWA...SASA AKITOKA AKAKUTANA NA KUBWA WAKATI YAKO NI NDOGO INAUMA MKUU?...HALAFU AKIFIKA KULE ANAKUSEMEA VIBAYA KWAMBA ETI MWANAUME WANGU HANIFIKISHI KWAHIYO HUYO MCHEPUKO WAKE NDIYO UNAMFIKISHA...HATARI SANA


Inasemekana katika hali ya kawaida "mwanamke hawezi kutofautisha sex (ngono) na love (penzi)"

Hii maana yake atakotoa sex(anakochepuka) ndo huko huko alikopenda(kuna love)!! Possibility ni kubwa mno.....over 95%

Inasemekana hii ndio sababu kubwa mwanaume mwenye grade ya juu kabisa katika malavidavi akimstukia mke wake wa ndoa amemsaliti au hata girlfriend ana mchepuko hatomsamehe kamwe na technically ndio unakua mwisho wa mahusiano husika

Na kwa style ya ajabu kabisa(paradoxically ) mwanaume anayesaliti nje ya ndoa ana zaidi ya 90% ni "TAMAA" peke yake na sio "LOVE"

Kwa kulitambua hili ndio maana mnamsamehe mwanaume aliyecheat? tofauti kabisa na wanaume jinsi inavyomchoma na kumuunguza rohoni na muda mwingine unakua mwanzo wakuharibika maisha yake?

Huku kwetu uswahili wanawake wa ndoa akistukia mume wake anatoka na mchepuko utasikia "mwache tu baba andunje atazunguka huko kote hapa ndo amefika". Wapo wanaume wenye ujasiri wakuzungumza hivi?

Kwakua hapa ni jukwaa pendwa naomba tujadili[/QUOTE
 
Wanaume simply me naona mna roho ndogo na hamna vifua vya kubeba maudhi,mngepewa maisha ya hekaheka na mambo meengi waliyonayo wanawake sijui ingekuwaje...
Mnajijua kushare hamuwezi yet mna show za kichovu,hamna commitment ya kutosha kwenye mahusiano /ndoa,some of u treat ur ladies like trash mnategemea nini zaidi ya kusaidiwa?
Hutaki kusaidiwa make sure u make effort kumtuliza ur woman,no effort no results.. Over

Hivi mambo mengi ya wanawake ni yapi hayo? Kwan mwanaume hana mambo mengi? LadyRed
 
Hivi mambo mengi ya wanawake ni yapi hayo? Kwan mwanaume hana mambo mengi? LadyRed
Maisha ya wanaume ni kazi za kujitaftia kipato tuu,women ni kujitaftia kipato,kubeba mimba na kuzaa,kulea watoto,kutunza nyumba /familia,kupika,kufua,kuosha vyombo, urembo inaeleweka wazi complications za urembo kw wanawake zilivyo etc...mweeh mngekuaje wanaume km mngekua na yote haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom