Recent content by Pastory Kimaryo

 1. Pastory Kimaryo

  Kweli penye nia pana njia, ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

  Huku kijijini kwetu karibu na Ifakara soda zimeadimika inakimbilia wiki ya pili sasa, sijajua tatizo ni nini kwa haya makampuni yetu. Kama yupo yoyote anajua basi atujuze!
 2. Pastory Kimaryo

  Fahamu Vivinjari (Browsers) maarufu zaidi duniani

  Kwenye Kiwi browser ndio nimepapenda
 3. Pastory Kimaryo

  Hii Logic ipo sahihi..?

  Sorry braza mimi nilijikita sana na conspiracies za wajerumani sio specifically na subject of the original post! Hayo mambo ya makanisa kujengwa katikati siwez kusema lolote zaidi ya kuona personally nayo kama conspiracy tu!
 4. Pastory Kimaryo

  Ditopile atua Ngorongoro kuiombea CCM kura na kueleza makubwa anafanya Rais Samia

  Huyu ana undugu na yule bwana, Ditopile Mzururi?
 5. Pastory Kimaryo

  Hii Logic ipo sahihi..?

  Hapo ni site fulan hi pamoja na Wikipedia
 6. Pastory Kimaryo

  Hii Logic ipo sahihi..?

  Hapa nazungumzia wajerumani mzee, sio Yesu!
 7. Pastory Kimaryo

  Hii Logic ipo sahihi..?

  [emoji15][emoji15] Samahani hebu weka vizuri, umesema cathedrals 22 kila mkoa au umemaanisha 22 Tanzania nzima?
 8. Pastory Kimaryo

  Hii Logic ipo sahihi..?

  Unajua kuna muda nikikaa nikifikiria mambo ambayo Germany imepitia na conspiracies zao nabaki naogopa, kuna muda nawazaga inawezekana Yesu alikuwa some immortal sumerian amabaye alishinikizwa kukubali mateso na uongozi wa dynasty yake ili aje kuwa long loved and cherished public figure ila...
 9. Pastory Kimaryo

  Hii Logic ipo sahihi..?

  Bwana Kit Harrington, ni bora umletee screenshot ya definition ya "cathedral" kutoka Google
 10. Pastory Kimaryo

  Hii Logic ipo sahihi..?

  Nasikia enzi za Mwalimu kile kijijengo kilichochoka cha freemanson cheupe pale posta karibu na benki kuu, palitakiwa pajengwe kitu fulani kikubwa cha serikali, watu wa serikali wakamfuata Teacher wakamuuliza vipi mzee tuvunje ile hall akasema hapana msibomoe na wala msifikirie kufanya hivyo...
 11. Pastory Kimaryo

  Zari Hassan (The Boss Lady) ataja sababu zilizovunja mahusiano yake na Diamond Platnumz

  Halafu kwenye uandishi wa hizi articles ambazo ni news-like contents, ukumaliza kuandika jaribu kupitia upya. Unaweza kujikuta unakuwa mwandishi pendwa hata kama unaandika contents za kawaida kwasababu vitu unavoandika vimepangika na kueleweka.
 12. Pastory Kimaryo

  Zari Hassan (The Boss Lady) ataja sababu zilizovunja mahusiano yake na Diamond Platnumz

  Umeona ee, japo sijasoma school of journalism lakin from the prolific article writers at least nimezoea kuona mtu au kitu chochote ambacho ndio subject ya article lazima aelezewe/kielezewe kinagaubaga kama kama vile vitunguu vinavyogeuzwa kwenye sufuria! By the way congrats to the socialite for...
 13. Pastory Kimaryo

  Hii Logic ipo sahihi..?

  But may be I am right and you don wanna people know that!
Top Bottom