Apart fro being expensive BEFORWARD Agents ni wasumbufu mno, utapata delays zisizokua na msingi so jiandae kulipa delay charges. Wako wafanyakazi wengi pale but everyone is busy for nothing, hao wanao wasifia watakua ni wafanyakazi wao hapo tu kama una hela ya ziada watumie alafu utakuja hapa...
Kaka kwanini usitumie skills zako kuandika proposals kwenye miradi mikubwa kama WHO, IMF n.k ili ulisaidie taifa na wewe mwenyewe at the macro level kuliko kuwaandikia watu utafiti ambao baadae watahitimu bila kuwa na skills zao wenyewe za katika kuandika tafiti? Jitahidi uwasaidie watu kupata...
kweli kwa mtaji huu tutaendelea badala ya kufanya kazi mnakaa kuzushia watu vifo? Tabia hii sio nzuri hata kidogo. Tujifunze kitu kimoja tusipende kufanya ambayo sisi wenyewe tusingependa kufanyiwa
ingia kwenye hii website Scholarships & Financial Aid 2014 2015 for Undergraduate, Masters, PhD Postdoctoral Students : Scholarship Positions 2014 2015 scholarship za kumwaga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.