Recent content by Paschal Martin Burra

  1. Paschal Martin Burra

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

    Nawasiwasi vita vya hezbollah na israel 2006 nchi ya kigaidi ya iran ilijiingiza kwenye hiyo vita kupitia mwamvuli wa hezbollah ndio maana israel walilijua hilo kupambana hezbollah ni kuipiga iran kwanza
  2. Paschal Martin Burra

    JamiiForums Tanzania Convoy nne za msafara wa jeshi la Marekani zashambuliwa na kuripuka jana nchini Iraq

    Tusubiri majibu ya usa kwa iran
  3. Paschal Martin Burra

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Israel na Palestine ukweli ni upi?

    Umeandika kishabiki sana
  4. Paschal Martin Burra

    JamiiForums Tanzania Ndege za Israel zashambulia wapiganaji wa Hamas Gaza - BBC Swahili

    Tatizo Hammas wanarusha makombora Israel halafu wanajificha kwenye mashule, nyumba za raia na hospital kwanini wasijifiche porini
  5. Paschal Martin Burra

    JamiiForums Tanzania Wiki 1 ya kifo cha Kamanda Soleiman: Kiongozi wa Hezbollah aapa kuwarudisha wanajeshi wa Marekani nchini kwao wakiwa kwenye majeneza

    Huyu nae anahaha anajua yeye ni next target ya USA baada ya magaidi wenzake kama qassim Suleiman na all Bagdad kusafirishwa kuzimu
Back
Top Bottom