Convoy nne za msafara wa jeshi la Marekani zashambuliwa na kuripuka jana nchini Iraq

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
8,638
16,568
Marekani yadai Iran ndio imehusika katika mashambulizi hayo


Msafara wa kijeshi wa Marekani washambuliwa kwa mabomu Iraq
Msafara wa magari ya kijeshi ya Marekani umeshambuliwa kwa mabomu ya kuelekezwa kutoka mbali (VBIED) baina ya barabara ya Samawah na Diwaniyah, kusini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.

Duru za kiusalama zinaarifu kuwa, kwa akali magari manne ya kijeshi ya Marekani yameharibiwa vibaya katika shambulizi hilo lililofanyika mwendo wa saa nne usiku wa kuamkia leo.

Inaarifiwa kuwa, msafara huo wa magari ya kijeshi ya Marekani ulikuwa unatoka mji wa Diwaniyah katika mkoa Al-Qadisiyyah ukielekea katika mkoa wa Svehiclein Muthanna kabla ya kushambuliwa. Kanda ya video iliyosambaa kwenye vyombo vya habari na katika mitandao ya kijamii inaonyesha namna magari hayo yalivyoteketea kwa moto baada ya shambulizi hilo.

Haijabainika iwapo shambulizi hilo limesababisha maafa mbali na kulitia hasara jeshi vamizi la Marekani lililoko Iraq. Kundi jipya la Saraya Thawrat al-Eshreen al-Thaniya limetangaza kuhusika na shambulizi hilo la jana usiku.


Picha inayoonyesha ukubwa wa shambulizi dhidi ya jeshi la US nchini Iraq
Upinzani dhidi ya uwepo wa askari vamizi wa Marekani nchini Iraq ulishtadi tokea Januari mwaka huu, baada ya jeshi la kigaidi la US kuwaua kikatili aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Naibu Kamanda wa harakati ya wananchi wa Iraq ya Hashdu Shaabi, Abu Mahdi al-Muhandis katika mji mkuu Baghdad.

Baada ya jinai hiyo, Bunge la Iraq mnamo Januari 5 lilipasisha muswada wa sheria ya kutaka kuondoka nchini humo majeshi yote ya kigeni.

Military supply convoy’ attacked & torched in Iraq (VIDEO)
Published: 12 Jul 2020 | 01:36 GMT
‘US military supply convoy’ attacked & torched in Iraq (VIDEO)
Twitter
1431
Militants on pickup trucks attacked a logistics supply convoy heading to a US military base in Iraq, forcing it to stop and getting local contractors out of the vehicles before torching the trucks, local media reported.

The incident happened on the Samawah-Diwaniya highway as the convoy, operated by Iraqi citizens and carrying supplies from Basra to one of the US bases in Iraq, came under attack by unknown assailants on Saturday night.


There were no reports of casualties in the brazen attack, but at least three vehicles were completely destroyed in a raid that apparently lasted less than 10 minutes.


Videos and photos posted to social media, which purported to have captured the aftermath of the attack, showed intense flames engulfing the trucks.


"Four trucks were attacked in the Najme region between Diwaniyah and As-Samawah,"

The US-led coalition forces in Iraq often rely on local contractors to move supplies between their bases, but it was not immediately clear whose cargo, apparently including a flatbed truck carrying a Humvee and two empty fuel trucks, was destroyed.
20200712_085053.jpg
20200712_085101.jpg
20200712_085057.jpg
20200712_085053.jpg
 
Ukombozi wa Meddle East au wameenda kuuwa watu? Allah hatowarehemu hawa magaidi coz wameshauwa maelfu ya akina mama na watoto na wakifika huko ni kichapo chengine
Kawaida sana hiyo katika medani za kijeshi. Hawakuwa kitchen party bali katika harakati za ukombozi Middle East. Allah awarehemu waliojitolea maisha yao kupambana na magaidi.

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kawaida sana hiyo katika medani za kijeshi. Hawakuwa kitchen party bali katika harakati za ukombozi Middle East. Allah awarehemu waliojitolea maisha yao kupambana na magaidi.
Wewe nawe unaongea kama hauna kichwa !!ukombozi kwani middle East ipo kwenye ukoloni na nchi gani? Yana unaongea kama ulikufa halafu umefufuka kwahiyo umekuta tu mambo hata hauelewi yameanzia wapi
 
Back
Top Bottom