Recent content by Paschal Joseph Haule

  1. Paschal Joseph Haule

    JamiiForums Tanzania Birthday haiwezi kuwa sifa ya kuwa rais wa tanzania

    RAIS AJAYE ANAPASWA KUYAJUA HAYA Changamoto ya kwanza ni ajira Nchi hii unaweza ukaiba kadri uwezavyo na hatua zisichukuliwe Kuanzia rais,mwenyekiti wa kijiji hadi baba wote ni waheshimiwa huu uheshimiwa unadidimiza uwajibikaji ni wazi wapo vijana na wazee wenye uwezo wa kuyafanyia kazi haya...
  2. Paschal Joseph Haule

    JamiiForums Tanzania Kambi ya upinzani inaposhindwa kutekeleza wajibu wake ndani na nje ya bunge.

    Historia inatuambia kwamba kablaya uhuru taifa letu lilikuwa kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa, kimsingi Tanganyika ilipata uhuruikiwa katika mfumo wa vyama vingi vyasiasa. Mwaka 1963 mkutano wa halimashauri kuu ya taifa ya TANU uliofanyikamwezi Januari uliazimia kuiweka Tanzania katika...
  3. Paschal Joseph Haule

    JamiiForums Tanzania Chadema yapukutika Jordan Uniersity College

    Kazi ya kuvua magwanda na kuvaa uzalendo inaendelezwa kwa kasi na makada wa ccm waakiongozw na Lyotela na Clovera. wamefanikiwa kuivunja chadema kwa kuzoa viongoz waake akiwamo aaliyekuwaa mwenyekiti wa tawi ndg. Newton Chamkongo. vivaa comrades
  4. Paschal Joseph Haule

    JamiiForums Tanzania Brigedia Mwakibolwa; Hakuna Mwanajeshi wa Tanzania anayeshikiliwa na M 23.

    Jwtz moja ya majesh makn baran Africa
  5. Paschal Joseph Haule

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

    Kwa kuwa wewe ni wakili ni vema ukachukua jukumu la kumsaidia huyu mtanzania mwenzetu.
  6. Paschal Joseph Haule

    JamiiForums Tanzania Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    Achen ushabk la msing n kuhakiksha kodi inaondolewa. Kwan uktazama bla ushabk Makamba na Mnyika wote wanalengo moja bt with different approach
  7. Paschal Joseph Haule

    JamiiForums Tanzania Famous Quotes by Julius Nyerere

    Rais anaweza kuchaguliwa kutoka katika chama chochote kile lakn rais bora atatoka CCM
  8. Paschal Joseph Haule

    JamiiForums Tanzania Hello

    Cogito ergo sum
  9. Paschal Joseph Haule

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio maadui wa CHADEMA

    Kwa wanasayansi ya utawala wataungana na mimi kuwa taasis makin utaipima kwa VISION, MISSION and ORGANISATION GOAL yake. CDM Kwa ss n taasis ya kisiasa ambayo imekosa sifa tajwa hapo juu. Ni chama ambacho hakina mtu wa mwisho katka maamuz. Kila kiongozi ana maamuz yake mfano.rejea tofaut ya...
Back
Top Bottom