Recent content by Pascal K

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

    Hatarii! Waume twaipata fresh na hawa wake zetu wa "kisiasa"!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

    Dunia ya sasa wababe wanatupa shida! Haya acha tuone yataishia wapi!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Waziri wetu Dkt. Gwajima, huyu “Anko T” Wizara yako imeshindwa kabisa kumuweka sawa?

    Maisha yalivyo magumu, utafutaji wake na kupata maendeleo, sidhani kama wengine tuna muda na huyo mtu! Atajijuwa na familia yake na kama katenda kosa au anatenda lazima angeshachukuliwa hatua! Tuendelee kutafuta hela kihalali, achana naye.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Kibaya zaidi wamesilimishwa/kubatizwa kuwa MACHAWA! Hawana uchambuzi waliojifunza BBC!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Safiiiii... Ubabaishaji siyo kama sisi.. Wako serious, more professional na makini... Hata tubishe, uchumi wao mkubwa, even though we are catching up... Ki Technology wako mbali, na ujinga ujinga wa kufungia mitandao hakuna, wakijuwa watapoteza hela nyingi sana... Aina ya siasa yao, capitalism...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye mali na vitu vya minada: Jifunze toka kwangu ujiokoe na mengi

    Upo vizuri sana mdau, NI KWELI KABISA KABISA KABISA 👏👏👏👏👏
  7. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

    Yawezekana, ila, kwa, VITISHO, UBABE, NA KILA AINA YA UKATILI!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Nucky Thompson wa Boardwalk empire, tunasema UISLAMU NI SHIDA! IMANI YAO SIYO YA MCHEZO MCHEZO MDAU...
  9. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanasheria nendeni mahakamani haraka kuzuia Rais kuchangisha pesa za kampeni ya CCM

    Sawa kabisa.. Tena wafanyabiashara na makumpuni watalazimishwa kwa VITISHO NA UBABE WA KUFA MTU! THIS IS NOT RIGHT!
  10. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    Hawa watu Wana shinikizo la akili! Wao wenyewe hela walizonazo zinatosha! Ndorobo na ujinga mtupu!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

    Chukuwachakomapema KATIKA UBORA WAO! 😡❣️😡😤🤔
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi jinsia ya KIKE

    Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar. Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa wa Dar. Mfanyabiashara. Karibu atakayependezewa. Tafadhali naomba dharau, dhihaka na utani vikae...
Back
Top Bottom