Recent content by Parrot_2024

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Hope Holding company limted

    Asante hii ni kwa kada gani
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Hope Holding company limted

    Habari zenu wakuu, Naomba kama kuna mtu yoyote anajuwa mishahara ya kuanzia ya mtanzania kwa kampuni ya Hope holding company limited ya kuanzia kama mhasibu wa kawaida ama administration ntashkuru
  3. P

    JamiiForums Tanzania Income tax kwa wanandoa

    Sawa inawezekna kuwa hvyo ila sheria imebadilishwa tngu mwka jna imeshushwa from 10% to 3% Tanzania nzima.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Income tax kwa wanandoa

    Habari zenu, Naomba msaada kuhusu hili swala. Babaangu mzazi anataka abadilishe nyumba yke aeke kwa jina ya mama kama kutransfer sasa shida inkuja imefika hatua ya TRA wao wanadaii lzima ilipwe tena 10% syo 3% ya capital gain kisa file limefunguliwa 2022 ila tngu hpo hkuna malipo ilofanyika. Na...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kisuni iitwayo shubiri inatokana na nini?

    Yasaidia na kusafisha damu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Salary rate ya Fair Competition Commission ipoje?

    Habari zenu wakuu, Salary rate ya FCC inakuwa vipi? Kuna rate zao FCCGSS from 4 to 12 inakuwa inahesabika vipi? Asanteni
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya kujenga kwa ajili ya biashara

    Asante Dodoma je waponaje
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya kujenga kwa ajili ya biashara

    Habari zenu, Tanzania ni kubwa na tuna mikoa mengi lakini ni mikoa gani mnahisi ni nzuri kwa ajili ya kujenga apartments kwa kukodisha. Namaanisha mikoa yenye good return in investment. Asanteni
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahtajika Tanga mjini

    Yategemea unmbie iko wap na ukubwa gan
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahtajika Tanga mjini

    Habari zenu, Kiwanja kinahtajika Tanga mjini isizid 1.5 - 2M. Mwenye nacho anisaidie. Asanteni
  11. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Tanga

    Sawa nimekutumia dm
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Tanga

    Habari zenu, Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge, Kange, Pongwe etc. Kwa yeyote alokuwa nayo naomba uniambie. Asanteni.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji belo ya Mavazi ya kiarabu (Arabic dress)

    Long dress inoitwa Arabic dress yaani dresses yenye style ya kiarabu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji belo ya Mavazi ya kiarabu (Arabic dress)

    Nashkuru mkuu
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji belo ya Mavazi ya kiarabu (Arabic dress)

    Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa anayejuwa mtu anayeuza mtumba ya arabic dress belo kutoka Dubai, Oman or Morocco cream quality. Nashkuru
Back
Top Bottom