Recent content by parajonse

  1. parajonse

    Uunganishaji wa solar panel mbili

    Naomba kuulizia, kuunganisha solar panels mbili mfano panels za wat 50, na kuweka panel moja ya wat 100, katika nguvu ya ujazaji wa betri. Je, Kuna utofauti?
  2. parajonse

    KUJUA UIMARA WA BETRI YA SOLAR

    Naomba kujua ni kampuni gani ya betri ya solar ambayo ni imara zaidi,,inayodumu hata kwa kwa zaidi ya miaka mitatu bila kupoteza uimara wake
  3. parajonse

    Betri ya solar ya N 20 inatakiwa isukumwe na panel ya watt ngapi?

    Naomba kujua betri ya solar ya N 20 inatakiwa isukumwe na panel ya watt ngapi?
  4. parajonse

    Naombeni msaada kwa wanaojua tiba ya utitiri kwa kuku

    NAOMBA MNISAIDIE DAWA YA UTITIRI KWENYE KUKU WA KIENYEJI
  5. parajonse

    Orodhesha majina ya kike yanayoanzia na herufi P mnayoyajua

    Orodhesha majina ya kike yanayoanzia na herufi P mnayoyajua.
  6. parajonse

    Hivi kwanini hizi gari aina ya prado tx,, huwa watu wengi wanaziita mchaga,,,, vipi kuhusu ubora, spare upatikanaji, ulaji wa mafuta n.k

    IVI KWANINI HIZI GARI AINA YA PRADO TX,, HUWA WATU WENGI WANAZIITA MCHAGA,,,, VIPI KUHUSU UBORA, SPARE UPATIKANAJI, ULAJI WA MAFUTA N. K
  7. parajonse

    Orodhesha majina ya kiume yanayoanza na herufi P

    Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie majina ya kiume yanayoanzia na herufi P mnayoyajua.
  8. parajonse

    Kati ya Suzuki Escudo na Toyota RAV4 old model gari ipi inafaa katika mazingira magumu?

    Hivi Kati ya Suzuki Escudo na Toyota RAV4 old model kama unaanza maisha,,gari ipi inafaa katika maana ya ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spare parts na ustahimilivu wa mazingira
  9. parajonse

    Nahitaji maelezo kuhusu gari aina ya starlet

    Ndugu wanajamvi naomba kuuliza maelezo kuhusu gari aina ya starlet 1.ulaji wa mafuta 2. Uimara wake 3.kustahimili safari ndefu 4.upatikanaji wa spea na gharama Ahsante naomba msaada wa maelezo tafadhali
Back
Top Bottom