Recent content by Paragons

  1. Paragons

    Msaada wa lugha unahitajika

    Kama unahitaji kujifunza KIFARANSA umefika, The paragon International ni wataalam wa lugha ya KIFARANSA, TUNAPATIKANA Dar Ubungo, Mwenge na Posta Mpya, tuna madarasa kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tatu usiku. beginners wanalipa laki moja kwa mwezi kwa program ya miezi mitatu. Utajipangia...
  2. Paragons

    A brilliant French class at Mwenge!

    The Paragon international is offering an ultimate French course to young students and adults. We have very experienced teachers who can make you speak fluently French in only three months. You can learn as a group, alone or even at home at your ample time. We are waiting for you very patiently...
  3. Paragons

    Jifunze kifaransa - Somo la kwanza

    D’accord ; à très bientôt!
  4. Paragons

    Jifunze kifaransa - Somo la kwanza

    UKIFWATILIA KWA MAKINI MASOMO HAYA YA LUGHA YA KIFARANSA, NA IMANI BAADA YA MDA MDOGO UTAWEZA KUZUNGUMZA KWA UFASAHA, NAOMBA MUNIFAHAMISHE KAMA SOMO HILI LIMEELEWEKA ILI NIWEKE LA PILI, PIA NAKUBALI USHAURI WENU WA NAMNA YA KUANDAA VIPINDI BORA ZAIDI.
  5. Paragons

    Ofa ya kujifunza Kifaransa maeneo ya Mlimani City

    C'est magnifique! Courage Monsieur!!!
  6. Paragons

    French to Swahili hapa!

    Learn French with us Bofya hapa: www.youtube.com/watch?v=EGC7PLIkAzw
  7. Paragons

    Ni rahisi sana kujifunza Kifaransa

    Umeanza darasa?
  8. Paragons

    French to Swahili hapa!

    Hongera kwa kujaribu ila accents zinakusumbua; kama uko Dar; naomba uje kwetu ujifunze kwa mda mfupi sana KIFARANSA sanifu! merci!
  9. Paragons

    PRE-FORM ONE FRENCH CLASSES

    Habari zenu wana JF Naomba niwakumbushe kwamba kuanzia wiki ijayo, tutaanza Darasa la KIFARANSA – Pre-form one. Tumejipanga kumfundisha kijana kwa myezi hii mitatu, aweze kuzungumza kana kwamba amezaliwa ufaransa; Tunajivunia kuwa na mwl wa KIFARANSA mwenye sifa za kimataifa. Tunapatikana Dar...
  10. Paragons

    Jifunze kifaransa na Mr. Chérrif Youtube – lesson one

    Ni mm mwl 0673225148 au 0753225148
  11. Paragons

    Jifunze kifaransa na Mr. Chérrif Youtube – lesson one

    Sorry Mkuu, wakongo wanachanganya kifaransa na lingala... Le soir de Chicago ni "Jioni ya Chicago" maneno mengine mpaka nisikie mwenyewe nijue alimaanisha nini; sunajua tena lugha ya sanaa
  12. Paragons

    Jifunze kifaransa na Mr. Chérrif Youtube – lesson one

    Merci beaucoup, à la prochaine
  13. Paragons

    Jifunze kifaransa na Mr. Chérrif Youtube – lesson one

    Nilipenda sana ushauri wako! Your comments will help to improve the next Merci beaucoup!
  14. Paragons

    Jifunze kifaransa na Mr. Chérrif Youtube – lesson one

    Usijali Mkuu, kuna lesson special for that; "accent"
Back
Top Bottom