Recent content by papiso

  1. papiso

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    C rrrvvcvvqqaCvcfvx xxbtzrfr cfvrvrfrvvfvrrcxftccccycccdebt ctr RBC debt ctr RBC vvvtvyvvtvttvfvvfvffvrfvvfvfvvfvrvrvfvttftcvtvtvtvvtcx SD Axx d ee x vdcx
  2. papiso

    Tigo wameniibia pesa: Naomba uzoefu wenu kupambana na wizi huu

    Inawezekana mtoa huduma ajakupa taarifa kamili, uwa inatokea kunafanyika manual refund kutoka HQ moja kwa moja na mtoa huduma haoni au hapati picha kamili labda kwa mtoa mzoefu, scenario uwa hivi unaweza ukawa umetoa hela bank au mtu amekutumia fedha kutoka benk kuja kwenye tigopesa yako, sasa...
  3. papiso

    Sababu za kufungiwa accont ya Tigopesa

    Habari wadau natumaini ni wazima was afya Labda ningeenda moja kwa moja katika mada Najua kuna wadau wengi wanatumia huduma huduma ya tigopesa leo nitazungumzia suala la kufungiwa huduma ya tigo pesa na njia ya kupata msaada, kwanza kabisa tigo pesa account ni Kama account ya benki hivyo basi...
  4. papiso

    Interview ya kwenye skype ni balaa!!!

    Hata mimi nilipata changamoto na profesa wa kiingereza ilinichukua siku nzima accent yao kwa kweli ngumu bora wazungu wa mataifa mengine hasa wamarekani
  5. papiso

    Hii jamani ni kweli; Kuna watu bandarini wanalipwa Tsh. 18,000/=

    Kuna shift tatu each ni 9000 on normal days weekends ni 18000 nilifanyaga kipindi flani ila siku hizi kupata hiyo shift moja ni shida na ni vigumu kupata kila siku maana watu ni wengi na kujuana kwingi
  6. papiso

    Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

    To be honest this thread was not for short mind people like you kindly accept you have some personal problems before too late
  7. papiso

    Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

    Hater una shida last comment on you imbacile
  8. papiso

    Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

    Hiyo pesa inakuwa imetumwa kwa njia ya voucher ie sms kwenye sms kuna code ambazo wakala anaziingiza ktk simu yake ya uwakala na kisha anakukabidhi pesa taslimu uliyotumiwa pesa hiyo inakuwa tayari ishalipiwa gharama zote za kutolea
  9. papiso

    Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

    Sijakuelewa vizuri ila sasa hivi huna uwezo wa kumtumia mtu wa mtandao mwingine directly ikaingia ktk accont yake iwe ya tigopesa mpesa ezypesa au airtel zamani ilikuwepo ya kumtuma pesa kwa njia ya sms ambayo mteja anaweza kupokea na kutoa tu
  10. papiso

    Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

    Ni PM number yako na tarehe ya muamala nikufurahishe mkuuu leo nipo kwenye mood kweli
  11. papiso

    Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

    Unapewa masaa 48 coz muamala unapitia process kwaza verification na authetification ya muamala pili location identification tatu communication btn sender na wrong receiver baada ya hapo ni approval ya muamala mkuu ova
  12. papiso

    Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

    Unataka detail zipi mkuu funguka tu
  13. papiso

    Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

    Safi acha nikupongeza kwanza miamala mikubwa sometimes ni ya lawama hata wafanyakazi wanaikimbia kimbia ila ukiwajia juu mbona wanakurudishia fasta
  14. papiso

    Je, unajua sababu ya miamala kuchelewa kurudishwa?

    Nimeisahau kidogo jaribu kuwapigia in case hujaipata ni PM within 24hrs ntawacheck marafiki zangu wa Voda HQ
Back
Top Bottom