Recent content by paper

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume umri 40-50

    Rafiki yangu ni ni mwanamke mzuri, chapa kazi mwenye watoto wa3 aliyetoka kwenye ndoa chungu. anatafuta mume awe ana watoto au asiyeweza kuzaa na hatojali kuishi na wanaye na yeye kama kitu kimoja. Lazima awe na mafanikio kwani naye ana mafanikio pia.
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke aliyeachika na mwenye watoto

    Kama nna miaka 50 na nina vigezo vyote hivyo na pia mzuri hatari. Niku pm?
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani ale chakula meza moja na housegirl!

    Huyo mama hakujibu vizuri. Ila na wewe ni mgeni mwenye kiherehere. Ndo nini kuuliza mambo ya taratibu za nyumba za watu? Usikute uliuliza kwa sauti hadi huyo mschana akasikia. Kiherehere
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

    Unatisha! Mleta mada kakurupuka. Im sure huo mtihani hata sio wake km mwnfnz. Akawaulize walioufanya
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

    Acha pumba basi. Em guess majibu kwenye multiple choice alafu subiria matokeo. Kama mdau alivyosema, ni kweli kbs essay na short notes zinawabeba waliokariri. Unaandika andika tu, hitting around the bush na haukosi hata 2 marks. Ila multiple choice ni u either right or wrong basi. Binafsi chuo...
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikikutana na mzazi wa mke wangu wangu nanyong'onyea

    Hilo ndo jibu. Mtoto akaishi na baba yake au arudi kwa bibi. Na huyo mke kwanini hashiki mimba?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Case study: Waliosoma english medium ni "wazuri" kuliko waliosoma shule za kawaida

    Endelea kujidanganya. No one wants kumuajiri bosi mkubwa anaongea "ze, ze" nyingi, labda serikalini na ofisi zisizo makini. Communication tena formal ni muhimu sana karbe hii na zijazo. Nawaonaga wanavyopata ugumu kuparticipate vzr kwenye vikao au kuwasiliana kwa muda mrefu na client. Adi...
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mke wangu: Sheria inasemaje?

    Kama utamuacha mke kisa ugomvi wa kupiga pasi, wewe ni hovyo!! Mke anaweza kujibu hivyo kutokana na mood mbaya tu, au ww ulivyoomba kupasiwa, ila kesho ukakuta kanyoosha nguo zote. Mbona kupeana majibu ya ajabu one tym one tym ipo sana. Ni kuzoeana
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mke wangu: Sheria inasemaje?

    Mkeo ana makosa, ila wewe kuhusisha hilo kosa na kumuhudumia mwanae ni kosa zaidi. Natamani amtafute huyo baba wa mwanae, tena aba uwezo mzuri, wawe wanakutana kujadili maendeleo ya mwanae na kuchukua matumizi kisha watiane
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kama una fedha ni bora kuoa mzungu..nyeusi haina hadhi?

    Ovyooooooo.utakua bonge ya kilaza
  11. P

    JamiiForums Tanzania nimemuelewa Ruge 100%

    Jide menopause inamjia vibaya
  12. P

    JamiiForums Tanzania nimemuelewa Ruge 100%

    Hahahahhh...u r shallow. Jide analysis hela gani
  13. P

    JamiiForums Tanzania nimemuelewa Ruge 100%

    Jide naona menopause imemjia vbya.Jide alibebwa hata asibishe, hana la kumfanya msanii best artist wa like
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Mme na Mke waliofunga ndoa na pengine kupata watoto huwa wamenuna wakiwa kwenye gari?

    Hahahahahahahahahhah. Metishaaaaaaaa
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    ila na ww ni mume wa aina gani bana....unataka kuomba likizo usafiri na mama kwenye vikao vya vikoba??????? dereva wa serikalini nn? hii tabia saizi yako kbs.
Back
Top Bottom