Recent content by PAPAA ZM

  1. P

    Kila kitu kwahisani ya Marekani!

    Habari zenu, Mimi nina kero yangu ambayo sijui wenzangu munaionaje. Hawa wamarekani sikuhizi wamezidi walianza kwenye malaria, wakaja kwenye hiv and then uzazi wampango(family planning) utasikia tu "kwahisani ya marekani" sasa wamehamia kwenye ndoa zetu, eti wanasema tuvunje ukimya na mayenje...
  2. P

    Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

    yaani ukitaka kuniboa nikumbushe huyo mayenje wa kwenye tangazo la tv, yaani sikuhizi wamarekani wameingia mpaka kwenye ndoa zetu .mpaka ndoa nazo kwa hisani ya marekani. Mimi lile tangazo silipi shavu hata kidogo!
  3. P

    Nijuzeni jamani...Kigoli ni mwanamke wa namna gani???!!!!....

    sina maana ya kwamba nawatafuna hawa watoto la hasha lakini hii ndio hali halisi iliyopo!!!!!!!!!!!!!
  4. P

    Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

    It is true Gajin no respect at all!
  5. P

    Nijuzeni jamani...Kigoli ni mwanamke wa namna gani???!!!!....

    Huu msamiati muheshimiwa unakaribia kutolewa kwenye kamusi ya kiswahili kwani matumizi yake ni karibu na zero, kwani hawapo, sikuhizi kitoto kidogo tu hubembelezi. Sasa twende huko mzigoni he! mpaka jasho litakudondoka!!!:pound:
  6. P

    Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

    Hahaaa! sikia kin'gasti mimi sisemi kuwa ni mazoea au ni wabishi ila style zingine wanawake wenye umri mkubwa hawaziwezi ndiomana hawataki hata ukiwa ambia, wanaweza kutapika ugali unafanya mchezo nini!
  7. P

    Wanawake wakubwa ndio wanafaa zaidi.

    :lying:Kaka mi nakanusha kwan kwenye mchezo wengine wanakua wazembe kinoma, anataka afanye anavyojua yeye ukimweka unavyotakawewe yeye hataki huo ni usumbufu!
  8. P

    Piiiiipii!!!!!

    :frusty:jamani wazee wa jammiforum mi ndiyo nime ingia ukumbini hivyo naomba muni karibishe kwa mikono miwili. asanteni!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom