Recent content by papaa wiper

  1. P

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    cjui unaongelea wilaya ipi hai kuna kila kitu maji shule zahanati mbunge wetu aligawa komputa kila shule ya sekondari bado tunamwamini sana mbunge wetu tunamwini sana tunamwombea aendelee na harakati za kuikomboa tz sisi wa hai tushakombolwe
  2. P

    Harakati za Mwigulu zinavyozidi kumharibia

    watanzania tutumie kura yetu vizur tukiwatoa ccm viongozi kama mwigu hatutawaona tena
  3. P

    Bungeni Live: Hoja juu ya Madawa ya Kulevya

    kama ccm haitaondoka madarakani tutaendelea kuimba huo wimbo
  4. P

    Nauza toyota nadia bei makubariano

    hiyo land cruiser bei gani?na ni model ya mwaka gani!
  5. P

    Michelle obama apata adhabu airport

    Sure mkuu japo tuone ugoko!
  6. P

    Bungeni: Mdee aishukia serikali!

    tupo pamoja nanyi 2015 ndo mwisho wa hawa vilaza
  7. P

    Pinda abanwa - wanaharakati kukusanya sahihi 10,000,000 kumshinikiza Pinda

    nina hamu ya kuona huo waraka na mimi niweke watanzania tusiburuzwe na viongozi waliochoka kuongoza nchi
  8. P

    Tatizo ni ccm au njaa?

    tatizo ni ccm pamoja nahuyo jamaa kwani kama asingepokea hiyo t-shirt nakuichagua ccm yasingemkuta hayo
Back
Top Bottom