Recent content by Papaa pedeshee

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    hongera umefanya kazi nzuri ila ni vema ukiona ngumu kulikamilisha kumsaidia mtoto, tumua asasi za kiraia zinazohusika na masuala ya kijamii,mtoto atasaidiwa na ukweli utajulikana.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mimi kada wa CCM lakini mauaji ya kada wa CHADEMA Ali Kibao limetukera

    Hakika inasikitisha na kuumiza sana, mhimu ni wahusika kukamatwa na kufikishwa mbele ya Sheria na pengine kunyongwa ikibainika na kuthibitika KWa waliofanya mauaji ya raia na mtanzania mwenzetu.siasa za majitaka kamwe zisipewe nafasi katika nchi yetu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Hii hali imekuwa mbaya sana, nadhani sasa ifike mahala mtu akitekwa hadharani kama mzee huyu, wananchi waingilie kati na ikiwezekana mbwai na iwe mbwai maana hali ni mbaya vinginevyo raia tutaumizwa sana hasa watu wanaotoa mawazo mbadala KWa serikali na kuitwa wakosoaji. Nawapa pole sana...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha kwa kishindoo Arusha Kesho

    Umenena kweli kada,naunga mkono hoja
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Kifahari ya Uarabuni (UAE) Yahusishwa na Uwindaji Haramu Tanzania

    Nachoweza kusema ni kuwa, watawala wabinafsi na wala rushwa wako tayari kuuza rasilimali za Taifa KWa ajili ya faida zao,familia zao na marafiki wao huku raia wakitaabika zaidi. Hii ni aibu sana hasa KWa watawala wa kiafrika. Sehemu kubwa ya bara la Africa tuna watawala na si viongozi. Allah...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Bandekile Mwamakula athibitisha Uaskofu Wake kwa Vitendo

    Askofu amenena kweli KWa ushahidi wa maandiko badala ya blah blah za mch.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

    Wakati huo pia utambue siku wenye nguvu wakija ni kuswaga mifugo Yako yote wanatia kwenye gari, kulingana na asili ya huko maana wizi wa mifugo ni nje nje tu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI John Mnyika ajiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

    Dah! Upinzani wa Tanzania bado una safari kadhaa mbele licha ya kuwa na uungwaji mkono mkubwa toka KWa wananchi walio wengi. Namtakia kijana mwenzangu Mnyika maisha mapya nje ya nafasi hiyo.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

    Nilichelewa kuingia mtandaoni kukujibu ila tulishaongea KWa simu na tayari ulishapata mali mkuu.hongera sana.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

    Shukurani ndugu,ndio umhimu na faida Bora ya kutumia majukwaa ya kimitandao badala ya umbea kuzidi,ubarikiwe sana mkuu na Kila lakheri Ktk shughuli zako.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

    Labda ni toleo jipya mkuu maana mambo yanabadilika Kila siku na mchina Yuko kazini.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

    Kama hadi bima anapata,naunga mkono ushauri wako ilimradi kuna fedha ataokoa kulinganisha na DSM.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

    Hata mm nilimwambia,pengine aliyemwambia hadi bei yake ni kutaka kumwingiza pabaya. Nami nasema cc 300 haipo
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wewe utakuwa miongoni mwa wachache waliopelekwa Dubai nadhani hivyo,si bure.waliondoka wenyewe wakati waliobaki wanaandamana, katiba inatakiwa kufumiliwa upya kabisa au kupata mpya ya wananchi.
Back
Top Bottom