Recent content by Papaa mukulu don

  1. P

    Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    umenkumbusha kuna demu mwembamba nlikua naye sasa kila nikitaka style ya chima mboga analalamika balaa anasema eti mashne yangu ndefu kwa hyo anaumia tumbo nlikua nakasirika had mzuka unapotea yaan yy anataka kulala tu kama gogo[emoji51][emoji51] mtchewwwww
  2. P

    UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

    huyu ni mmojawapo wa wafanyakazi pale udom ndo mana anajitahd kutetea uozo
  3. P

    UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

    tatzo hujaelewa post yangu we unakurupuka tu kisa unatetea kibarua chako
  4. P

    UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

    ndo mana nimemwelewesha maana anaitetea staff yake akat imejaa madudu tupu
  5. P

    UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

    halafu kama hujui mkuu, office ya raisi haina saut yyte pale udom na hiz barua wengi wameandka ila hakuna ktu kwa sabab barua znaenda kwa uongoz wa wanafunz ila matokeo yako na uongozi wa chuo yaan VICE COUNCELLOR
  6. P

    UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

    naona hujui unachoandika cool down inaonesha una shda kwny processing ability yako,,,,? ungekuwa ushawahi hata kusomea certificate nngekujibu ila wacha nkae kmya
  7. P

    UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

    umeelewa nilichokiandika?? au umejibu kutokana na mihemko yako kwa sabab ww ni staff wa udom??? nmekwambia chuo hakikumuombea ada bodi ,afu ww unakuja kusema et hakusain ada sasa atasain nn na jna halijaja? pili unasema bodi haikatai kulipa unaujua utaratbu wa malipo kutoka bodi???? hebu acha...
  8. P

    UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

    hizi barua wanaandka wale walolipa ada na michango mingne....lakn kama umelipa michango mingne bila ada hupatiwi matokeo
  9. P

    UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

    Habari kama heading ilivo hapo kumekuwa na sintofahamu kadhaa kwa wanafunzi wa udom kuhusu michango kupanda kila siku, Hostels za chuo kuwa na vyoo vibovu, maji kukatika kwa mda mrefu, Gharama za direct cost kupanda bila sababu maalumu, na mengine mengi lakn hii sasa ndo kubwa kuliko yaan...
  10. P

    Idea for jf

    Mkuu watu sio kwamba wanapenda kudabo account bali ni app yenyewe ya jamiiforum ilivo yaan hairuhusu mtu kubadili jina yaan hakuna option ya kuchange name ndo mana watu wakitaka kutumia jna tofauti na lililozoeleka humu bas wanafngua account mpya ko unakuta mtu ana account zaid ya mbili
  11. P

    LAPTOP HP CORE i5 INAUZWA 300,000/=

    ncheki pm tufanye exchange nkuongeze na hela
Back
Top Bottom