kk hakuna mtu wa kukuajiri humu ajira unayoitaka ipo shule ndugu yangu nenda mashuleni ukaongee na wakuu washule utakacho pata humu ni lugha za kejeli tu ndugu yangu
hahahahahahaa mwanchekesha miie yani mpaka leo eti mwasubiri ajira?mbona mnakuwamasikin wa fikra hivyo sina maana yakwamba nawatukana hapana nyinyi ni wasomi kwa nn mkae mnasubiri kuajiriwa na mlalamike kwa serekali?moja ya wajibu wa serekali ni kuwasomesha raia wake bila shaka mmesomeshwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.