Recent content by papa ya bana

  1. P

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    ukitaka mfanye uchaguzi mwingine ndani ya miezi sita mwambieni atoe hiyo presindential decree na aiweke katiba ya nchi pembeni...hana ubavu huo...walahi nakwambia hawezi..
  2. P

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    yalwatu wanatiwa uoga...nchi haindeshwi kwa uoga...wafanyakazi wanatakiwa kufanya kazi bila woga...leo mtu anaambia mwezi ujao jipu linatumbuliwa kwenye ofisi yako..unadhani hapa katikati anafanya nini huyo mtu..sasa hivi tumeanza kusingiziana na kupeana vitisho...jana wamekamata makontena 9...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hakika jana ingekuwa ni siku ya kuandikwa kwa historia mbaya sana juu yangu

    nimezungumza kwa kifupi sana juu ya hilo....mke hayupo nae alishamfaa huyo mgoni kule alikoelekea ila kwa njia yake
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hakika jana ingekuwa ni siku ya kuandikwa kwa historia mbaya sana juu yangu

    nilishahi kumfanyai mtu jambo baya kwa tabia kama zako....niliwahi kurudi kwa kustukiza na mara baada ya kugonga mlango kumbe mle ndani kuna mgoni jamaa anabanjuka na mke wangu...baada ya kugonga nikasubiri mda kama dakika 10 nikahisi jambo ndipo wife akaja akafungua mlango...nikaingia ndani...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri: Rais anafanya kazi ya ziada, anaruka viunzi kabisa

    tena mwambieni ateuwe mawaziri baada ya miezi sita...maana na wengi wamekaa kiupigaji pigaji..acha kwanza aendeshe nchi...huko nyuma nchi ilikuwa inaendeshwa na HSC..
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mke wangu simuelewi

    tatizo kama lako liliwahi kunipata miaka kama sita iliyopita...ilikuwa kama anavyofanya wife wako tena mimi nilienda mbali zaidi kwa kumwambia yule jamaa aache mawasiliano na mke wangu..nikazui lakini mke akagoma...baadae nikawashika ugoni wakivunja amri ya sita nyumbani kwangu ....nikaachana na...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    aisee...haya mambo haya!!!..siasa ndo zilivyo..
  8. P

    JamiiForums Tanzania Lupita nyong'o KATIKA UBORA WAKE

    amenona zaidi
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nimeacha home 5,000/= ya matumizi nimetupiwa usoni, kwanini?

    mkeo pasua kichwa
  10. P

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    du...nimeelimika
Back
Top Bottom