Recent content by PAPA NYAGOTHE

  1. P

    JamiiForums Tanzania NIMR yagundua dawa ya UKIMWI, Tezi dume

    let be a doubting thomas ...kwa hili bado sijadhibitisha ni tiba bali ni virutubisho kama ilivyo ARV
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mnyika is the most brilliant lawmaker!

    eastern eagle tambua kuna kuwa ns elimu ya darasa ns kuwa na elimu yenye hekima...ivi ina haja gani kuwa na elimu kams ya stela manyanya au shekifu alafu unashindwa kufafanua sheria ?kama sio wanabweka ili wapewe nafasi ya u-RC ..haya raisi kashamaliza nafasi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Henry Shekifu, jirekebishe

    tena nimeskia juzi spika akimwita DR.shekif....ina maana hichi kipindi cha kikwete kila mtu ataitwa DR.na Prof.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Lema: Kinana jiunge na FUTUHI

    kumbe ndo maana kinana anamsakama Nyalandu kwasababu kamkataza kutembeza wanyama kwenye mikutano ..hongera nyalandu uwenda usingemzuia angeleta tembo kwenye mikutano na ndo maana anakuita mzururaji .....
  5. P

    JamiiForums Tanzania Haki ya Kuandamana: Inawezekana Rais Kikwete hajui Sheria, ameteleza ulimi, au amepotoshwa?!

    CHAPTER 258 THE POLITICAL PARTIES ACT 11. —(1) Every party which has been provisionally or fully registered shall be entitled b) to the protection and assistance of the security agencies for the purposes of facilitating peaceful and orderly meetings: hii haimaanishi kuwa unaomba kibali...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Haki ya Kuandamana: Inawezekana Rais Kikwete hajui Sheria, ameteleza ulimi, au amepotoshwa?!

    kaka hapo kwenye red ndo umepotosha kabisa.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Vurugu bungeni zasababisha Bunge kuahirishwa asubuhi hii

    kama polisi wanataka taarifa ya mikutano na maandamano ndani ya masaa 48 kwann wao pia wasitoe azimio lakutokubali maandamano ndani hata ya masaa 24 ivi sheria za nchi hii ni msumeno au kisu cha mkate kinakata upande mmoja tu?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nani wakutusaidia watanzania kwenye hii mitandao ya simu

    ndugu zanguni makampuni ya simu yamezidisha hizi kero....kwa mfano Vodacom ...unanunua muda wa hewani kupitia M-pesa wanakata sawa lakini kuna muda hawakupi kwa muda ule unaohitaji ukipiga huduma kwa wateja wanakuambia kuna tatizo lakiufundi kwann wakati unanunua...
  9. P

    JamiiForums Tanzania TBC inafanya hujuma kwa upinzani bungeni!

    jamani maandalizi yanahitaji muda huwezi sema hawakujua bunge linaanza leo....au tuseme ni upande wa upinzani ndo una kasoro....au TBC hamwezi kurusha live mnataka kurekodi kisha mka edit ndo mturushie
Back
Top Bottom