Recent content by Papa Mopao

  1. Papa Mopao

    JamiiForums Tanzania Takribani Watu 95 Wafariki, Mamia Wapotea baada ya mafuriko na maporomoko ya matope kutokea katika eneo la mpaka wa Nepal na Tibet

    Walikufa wengi sana, kuna jamaa alisema yeye alikuwepo sehemu anapata chai alivyotoka tu kwenda juu milimani lile eneo alilokuwepo wote pale aliowaacha wamesombwa na matope
  2. Papa Mopao

    JamiiForums Tanzania Naona timu ya taifa ya ISRAEL na vilabu vyake vikishiliki michuano ya UEFA na UERO apo imekaaje?

    Hii nchi hii (Azerbaijan) wananchi wake wametulia sana
  3. Papa Mopao

    JamiiForums Tanzania Magari kadhaa yapata ajali daraja la Tanzanite - Dar es Salaam

    Uzembe wa haraka haraka zisizo na msingi na kuovertake ovyo ovyo lazima ziwachanganye wengine bila umakini na uangalifu
  4. Papa Mopao

    JamiiForums Tanzania China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

    Asante sana, tujifunze wenzetu wamewezaje kufika hapo, hiyo ni Elimu tu waliyoiweka na imewajega sana mpaka hapo
Back
Top Bottom