Heshima kwenu wakuu, somo tajwa hapo juu lahusika.
Nadhamiria kumnunulia shemeji yenu ka usafiri kadogo aina ya passo ili kumrahisishia kwenda na kurudi kazini hasa kwa kipindi hichi ambapo yupo katika hali ya ujauzito, nimepitapita katika baadhi ya showrooms hapo mjini nikaona kagari kamoja...
huyu dada humu JF huwa naona ni mmoja wa wanaochukiwa zaidi. Tofauti yake na wengine wanaochukiwa humu (kama yule jamaa aliyefanya mazoezi gym akapungua akili badala ya kupungua mwili, mwenye umri sawa na mama anna lakini inabidi umuamkie shkamoo) Faiza anachukiwa kwasababu yupo vizuri kichwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.