Recent content by panya mabakaa

  1. panya mabakaa

    JamiiForums Tanzania Ni mstari gani wa Bongo Fleva unaweza kuelezea Mahusiano yako?

    "Na yatapita"
  2. panya mabakaa

    JamiiForums Tanzania Uongo upi usio na maana umewahi kutanana nao kwenye Filamu?

    Hiyo movie iliyo kwenye cover inaitwaje
  3. panya mabakaa

    JamiiForums Tanzania Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Piga moyo konde muombe Mungu akupe uvumilivu katika hili,litapita tu.
  4. panya mabakaa

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Hii Barabara ya Dodoma – Iringa ni hatari kwa usalama wa watu na vyombo vinavyopita

    Pia barabara ya makambako njombe , barabara ya mwanza[nyerere road](nyanguge hadi lamadi)
  5. panya mabakaa

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kukutana na mtu anakuchangamkia anakujua jina nyumbani ila wewe humkumbuki kabisa

    Kitaalam tunasema unaenda na kipindi unajikuta unamjua Zaidi.
  6. panya mabakaa

    JamiiForums Tanzania Fursa za kilimo na mustakabali wa Tanzania

    Kilimo ni fursa ambayo inaweza kutoa ajira kama ikiwekewa mifumo mizuri
Back
Top Bottom