Recent content by Pangolinr

  1. P

    JamiiForums Tanzania Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    Kwa suala lako cheti cha kuzaliwa ndio kitatoa uthibitisho kua hilo jina la tatu ni la kwako,kama halikuandikwa na kwenye cheti cha kuzaliwa hapo tatizo tayari
  2. P

    JamiiForums Tanzania Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    Lazima majina ya vyeti yaendane na majina ya kwenye kitambulisho chako yakiwa tofauti ni shida,ila kwanini mnapenda kubadilisha majina?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    Piga chini
  4. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    Je,wakati unaandika barua ya maombi ya kazi ulipitisha kwa mwajiri wako? Kama haukupitisha hata interview usijisumbue kwenda maana hautaajiriwa hata ukipita.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Walioitwa kwenye usaili TRA idadi yao ni kama Nchi zima

    Itakua kuna kitu ulikosea kwenye kuomba ,chunguza,mimi nna madogo wawili wamekua shortlisted na hawamjui mtu huko.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Kama upo mbali na mitandao au kama cycle yako sio ya waombaji kazi sio rahisi kuziona au kujua,hata hawa walioitwa kwenye interview kuna watu hawatajua na interview itawapita. Zilitangazwa na TRA mwaka huu around mwezi wa 5-6 .
  7. P

    JamiiForums Tanzania Walioitwa kwenye usaili TRA idadi yao ni kama Nchi zima

    Huezi kuchuja mtu kwa kigezo ambacho haukukiweka kwenye tangazo la kazi.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Walioitwa kwenye usaili TRA idadi yao ni kama Nchi zima

    Post zipo 206 acha wakapambane,ndio mana kuna written interview ,na wengine wakienda kwenye oral huwekwa database badae huajiriwa. Wengi wamepangiwa kufanya mtihani mahali flani kutokana na addresa zao sio wote watakaosafiri.
  9. P

    JamiiForums Tanzania NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

    Ndio unatumia hiyo hiyo haina shida.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa TRA mkeka upo hewani

    Si useme tu kua ni wewe,pole sana jaribu next time!!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa TRA mkeka upo hewani

    Unataka kusema mtu mwenye gpa ya first class na mwenye experience miaka 5 na lower class watakua sawa??!!
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa TRA mkeka upo hewani

    Wengi walioomba hizo kazi wameshaajiriwa,wengine wameajiriwa serikalini kabisa!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi ndugu kugombania mirathi ya ndugu yake aliyemjengea nyumba mzazi wake na kuandika jina la mzazi wake kwenye umiliki?

    Ukimjengea kwenye kiwanja cha familia automatically hio itakua mali ya wote kwenye urithi. ukitaka mali isihesabike kama ya familia ,mjengee bi mkubwa nyumba kwenye kiwanja chenye jina lako alafu muache akae,otherwise ukijenga kwenye kiwanja cha familia ndugu wanaweza kudai endapo siku huyo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mnaojenga Nyumba ya ghorofa kwa ajili ya kuishi mnazipendea nini?

    Sijawahi kuona mada mbovu isiyo na maana kama hii
  15. P

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, chungulia bei za material ya ujenzi, ni maumivu

    Hii bei ya mkoa gani?
Back
Top Bottom