Recent content by pangapatuni muhanzagara

  1. pangapatuni muhanzagara

    Vijana wengi wa siku hizi wanazaliwa hawana akili

    Sijawahi kuwaza hivyo umeenda mbali sana Mungu akuumba kwa sabb hiyo kwa ajili yao kuna jambo unapaswa kufanya
  2. pangapatuni muhanzagara

    Taarifa kwa wateja wetu wa Umeme waliounganishwa kwenye gridi ya taifa

    Tuwe wakweli kuhusu umeme afadhali kipindi cha nyuma sasa mvua zinanyesha maji yapo ya kutosha mtera alafu umeme mgao si mgao hivi hiyo Viwanda vinazalisha kwa ajili ya nani kama mjasiliamali mdogo hapati umeme je atasubiri mpaka lini apate maendeeleo au ndio asubiri serikali ipate kodi kwenye...
  3. pangapatuni muhanzagara

    Nililishwa chakula chenye sumu safarini, nilisafiri kwa mateso na kufika kwa mbinde sana

    Mtu katoa yanayomhusu ww mapovu kweli kuna watu na viatu umefikishiwwa ujumbe kwwa namna ya story unatokwa na mapovu pole GuDume anahaki kukwambia ww ni mjamzito endelea kutumia omo
  4. pangapatuni muhanzagara

    Nililishwa chakula chenye sumu safarini, nilisafiri kwa mateso na kufika kwa mbinde sana

    Ha ha ha ha ha nimecheka sana pole mpaka machozi hatari GuDume acha zako
  5. pangapatuni muhanzagara

    Maono - Watajaribu kuzima mitandao kuelekea 26/4/2018

    Acha kuwa na fikra finyu hao wanafunzi wakimaliZa shule wanakuja kufanya nn? Kwenye nchi yao ambayo haijajiandaa kwa ajili tujitafakari serikali wabandilishwe mitazamo yao wanchojua ni kukusanya kodi hawana njia nyingine ya kutengeneza ajira wanaachia sekta binafsi Mungu ametubariki na...
  6. pangapatuni muhanzagara

    Damas Ndumbaro: Chanzo cha Majimaji kufanya vibaya ni kukosa wachezaji wazalendo (kutoka Ruvuma)

    Damas yupo sahihi tukuze vpaji vya mikoa vijana wanaona wanao pewa kipaumbele wakuja hata kama hawana uwezo kisa majina makubwa mtu kama ngasa sijui anafanya nn Ndanda wanakatishwa tamaa
  7. pangapatuni muhanzagara

    MUNGU huombwa wakati gani?

    Najaribu kutafakari kwa mapana na kugundua hasa Wafrika tunatumia nguvu nyingi na kupoteza muda kuomba Mungu Badala ya kutafakari uweza wa Mungu na maajabu aliyomptia mwanadamu kutenda Kwan naamini Mungu alishafanya kazi yake na alimaliza kwa binadamu na binadamu anatakiwa kumshukuru Mungu na...
  8. pangapatuni muhanzagara

    Kwa niwajuavyo Wazungu ukiona unahutubia halafu wanakupigia sana makofi jua wamekuona ni Genius mno

    Naunga mkono hoja hakuna namna kwa kampeni kama kawaida Zinakuja taratibu miaka 14 inamuhusu malaika
  9. pangapatuni muhanzagara

    Buswita alifungiwa je hili la Asante kwasi mchezaji halali wa lipuli fc litapita salama?

    Nakumbuka Malinzi alisababisha Ndala kupunguza uwezo wa kufikiri Leo naona mmeanza kujielewa polen huu ni wakati wa Mnyama
  10. pangapatuni muhanzagara

    Buswita alifungiwa je hili la Asante kwasi mchezaji halali wa lipuli fc litapita salama?

    Ninachomifahamu ni Asante kwasi si mchezji halali wa Lipuli wa la Mbao huko kote alikuwa anacheza kwa mkopo kwenye mchezaji wao halali ndio kwenye maamzi ya kumuuza watakako Lipuli na Mbao wanapewa tarifa tu hawana namna ya kumzuia huo ndio ukweli
  11. pangapatuni muhanzagara

    Naona dalili za wazi kufa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Kweli acha tu sisiem iendelee kutushikia akili watanzania
  12. pangapatuni muhanzagara

    Aliyewahi kuwa Girlfriend wangu nli mdate akiwa na Ukimwi she didnt tell me before. Mpaka jamaa zangu waliponiambia

    GuDume katika ubora Elimu tosha kwa uzinifu ila Watanzania wachache kama sio wengi wajuaji mtu katoa kitu ili ujifunzze we kazi yako kukosoa Du hatari hivi hakuna namna ya kuongeza mtaala au kutengeneza namna ya kuwa na somo LA kujitambua kwa shule za msingi na sekondari
  13. pangapatuni muhanzagara

    Muda umefika vijana tubadili mwelekea

    Najua wawezza amini si mawazo yng ila nimekaa na kutafakari azzimio LA Zanzibar ndio kila kitu palipo haribu mwelekeo sasa ndio maana waje wazee wakili wazwazi wapi walikosea na kwa hili tusiwe 50 kwa 50 tukae upande wa kijamaa ndio tujenge nchi watu wengi wameshamjua Magu anataka nn...
  14. pangapatuni muhanzagara

    Muda umefika vijana tubadili mwelekea

    Najua mwenye uwezo tu wa kupambanua ndio atanielewa kwa nimegusa sehemu kidogo kidogo na wewe utumie uwezo wako wa kupambanua kama kweli in Mtanzania unayejua tulikotoka
Back
Top Bottom