Recent content by Pangamalasy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Malkia Elizabeth hamiliki Paspoti ya kusafiria?

    Mwingine ambae hamiliki passport ni Papa.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hutavuka mpaka wa Tanzania bila kupata chanjo ya COVID-19

    Hii chanjo ya Covid nyuma yake sio salama kabisa,na wazungu wamejipanga atakae kwamisha kukiona cha moto
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

    Yaani watengeneze ufisadi wenyewe halafu waibue hoja wenyewe,tupe mfano wa mwana CCM aliyeibua hoja ya ufisadi
  4. P

    JamiiForums Tanzania DC Kihongosi wa Arusha amekosea, Huu ni ulevi wa madaraka na unyanyasaji wa raia walioipa dhamana Serikali

    RC Chalamila na DC Kihongosi wote ni wahehe panick kubwa kuliko akili,maana RC Chalamila nae alichapa watoto viboko huko Chunya
  5. P

    JamiiForums Tanzania Embu tumjadili Rais ajaye wa awamu ya sita 2025

    Kama mwenyewe alisema Raisi ajaye lazima awe kijana angalieni kwenye baraza la mawaziri ni nani kijana, hapo utajua Rais ajaye ni nani
  6. P

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

    Hapo Mkapa nae angekuwepo angeongeza maneno yake mazito,ila Warioba,Malecela,Butiku n.k wakipumzika hatutakuwa na wenye hekima na msimamo ktk taifa letu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ijue nchi ya Ugiriki/ Uyunani (Mama wa nchi za Ulaya)

    Babel-Syria Medopersia(Umedi na Uajemi)-Ilan na Iraque Greeck-Uyunani Roma empire-Rumi Papacy-RC Hizo ndio dola zilizotawala dunia na sasa tupokwenye utawala wa Upapa.Dola LA Kiyunani ilipendwa sana kwasababu ya kutumia akili badala ya mabavu ktk utawala,pia ilileta maendeleo ktk makoloni yake...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Chuo Kikuu Mzumbe na IFM zimejaa Siasa, Wahitimu wa hivyo vyuo wengi ni Vilaza

    Membe UDSM na Lipumba UDSM
  9. P

    JamiiForums Tanzania Bagonza: Kuna dalili za kuliangamiza Taifa kwa sababu watu wanaamini uongo na kumchukia mtu anayesimamia ukweli

    Viongozi kama hawa ndio walisaidia ktk ukombozi wa bara LA Afrika,Leo wakizungumza mnawabeza RIP Desmond Tutu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Haya ndo madhara ya kutokuwepo mchujo wa kupata wabunge,watu wamepita bila kupingwa hawajapitishwa hata kwenye moto ilitupate watu pure for public tasks.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mwanasiasa atayenufaika na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK)

    Hapa wanasiasa harisi wanajulikana sasa,tatizo wanasiasa wengi hawawezi kujitegemea bila kuwemo kwenye mfumo wa kiutawala
  12. P

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Naamini CHADEMA watavuka katika hili, haya hutokea Taasisi inapokua

    Dotto kwa andiko hili kama sio game LA CCM dhidi ya Chadema ionekane nanyie mna huruma ili akina Halima wasamehewe basi hata uwaziri sijui kama utapata.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hongera Polepole, CCM itamisi nafasi yako - Bungeni nako ng'aa

    Bora akawe mbunge tumuone akivaa nguo zingine sokila mda mashati ya CCM tu
Back
Top Bottom