Recent content by pangalashaba

  1. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania TOC iachwe ichape kazi; Viongozi wapya hawa hapa!

    Yamejazana makobazi matupu, hata aibu hayaoni.
  2. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa umwombee baraka kiongozi yeyote utamwombea nani?

    Tundu Antipas Mughwai Lissu.
  3. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa vyama vya siasa wenye tabia ya kufurahia vifo na misiba ya binadamu wengine, nao kufiwa, inatoa funzo gani kimaisha?

    Tunashangilia vifo vya walioua ndugu zetu tarehe 29/10/2025 na kuendelea. Kama na wewe ni mmoja wao basi jua ukidondoka tutaweka sherehe kubwa sana .
  4. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania TPA: Ada ya Uendelezaji wa Miundombinu ya Bandari kuanza kutekelezwa leo Julai 1, 2026 katika bandari zote za Bahari Kuu

    Hii nchi inahitaji overhaul kubwa sana maana maCCm yameshindwa kabisa kuongoza. Hapa tutarajie ongezeko la bidhaa zinazoingia kupitia Bandari Kuu, hamna namna.
  5. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na mahakama huru, zingezuia katazo la mikutano ya mikutano ya hadhara kutoka Kwa Waziri Katambi

    Halafu tukiandaa manadamano wanasema tunaleta vurugu wakati wao ndiyo waanzilishi wa haya yote. MaCCM ni majinga sana.
  6. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Farkwa Kuibeba Huduma ya Majisafi Dodoma

    hii nayo ni habari iliyotoka wizarani. Haileweki hta inaanzia wapi inaishia wapi? Itoshe kusema serikalini kumejaa vilaza kuanzia juu mpaka chini.
  7. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania False Alarm: EU Parliament Resolution Against Tanzania is Hoax

    'The Government continues to urge Tanzanians to refrain from spreading such information, which is intended to create unnecessary panic and incite hat.' Government ipi, ya European Union?
  8. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

    Jitu linajiita Big Show halafu kichwani limejaza mavi.
  9. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kevin Mbogo, mfadhili wa Jumuiya Wazazi CCM, afariki kwa ajali ya gari

    Msizue taharuki, kifo ni kifo tu.
  10. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Godson: Mungu awasamehe wanaomkosoa Samia, miaka 5 haitoshi

    Huyu Mollel wa wapi? Kuna kitu nilitaka kusema juu ya wamasai kuhusiana na watoto wanaozaliwa na ulemavu. Anyway acha apush #.
  11. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: ‘Hatuitaki CCM, hatumtaki mama’ ni hasira za muda mfupi

    Kila uchao watu wanazidi kumchukia mama n ccm yake, hili mbona lipo wazi sana.
Back
Top Bottom